Vodacom Huduma kwa wateja is dead?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
Wakuu nimemtumia ndugu fedha za sikukuu leo mchana , kwa M Pesa,lakini kule ziendako hakuna message iliyokuwa delivered ili mtu atoe zile fedha.

Nimewapigia Vodacom Huduma kwa wateja, hakuna jibu kabisa~NO ANSWER KABISA!

Sasa sijui hili ni tatixo langu mwenyewe au Voda ndo wamejikusanyia hela ya pasaka kupitia wateja?
 
Mnaboaa na mahuduma yenu mabovu yenye gharama kubwaa eti wanakwambia pata ofa ya Mb 25 sasa kwangu hizo za nini
 
Kafieni mbele mi acha niwanawe tu hamna namna niende zangu halotel
 
Sio hao tu hata wenzao tigo ni washenzi mno. Jana wamenipiga changa eti kuna bonus ukiongeza hela kwa tigopesa. Nimeeka hamna lolote lililotokea napiga customer care nikitaka unganishwa na mtoa huduma wanamikatia simu!
 
Nawaonea huruma waliopigwa fix za hisa. Hela yenu italiwa kihuni kwa kuandikiwa Fiscal year reporting a loss!
 
Tulikuwa tunaamini katika upande wa mobile pesa za mitandao yote voda ndiyo waaminifu kuliko wote, sasa hivi watu mnaikandia Voda mnasema M-PESA ni wezi, mpaka hapo maana yake hamna tena mtandao mwaminifu kwenye mobile money, twende mtandao gani sasa kama yote ni matapeli?
 
halotel
 
Binafsi natumia VODA kwa muda mrefu sasa na nilishawahi kutoa 300k nikapata ujumbe lakini kwa wakala hamna ujumbe na salio limepungua. Nilichanganyikiwa sana but hela ilirudi ndani ya 24 hrs. So wewe utunze taarifa za muamara na code zake. VODA nawaamini sana nawe utakuwa umepanic tu but wapo vizuri sana katika huduma zao hasa za kifedha,mengine ni makosa madogo madogo ambayo hata benki wanayo
 
Huduma kwa wateja voda ni ovyo sjawah ona
Wanachelewa kutatua shida m walnzungusha wiki2 nzima na bado walipoona nawasumbua wakawa wanapokea cm AF awaongei
Sema akili ya kuwarekodi ili nimtumie mkurugenzi wao ilinijia kipindi hawapokei cm zangu so nlishindwa kuwwshughulikia
Sita saau Dada 1 iv alinijibu nyodo sana
to be honesty Voda costumer care wanazingua ni hataree
 
Wakuu nimemtumia ndugu fedha za sikukuu leo mchana , kwa M Pesa,lakini kule ziendako hakuna message iliyokuwa delivered ili mtu atoe zile fedha.

Nimewapigia Vodacom Huduma kwa wateja, hakuna jibu kabisa~NO ANSWER KABISA!

Sasa sijui hili ni tatixo langu mwenyewe au Voda ndo wamejikusanyia hela ya pasaka kupitia wateja?

Hakuna jibu kabisa unamaanisha nini mkuu, Simu haikuita wala kupokelewa?
 
Huduma kwa wateja voda ni ovyo sjawah ona
Wanachelewa kutatua shida m walnzungusha wiki2 nzima na bado walipoona nawasumbua wakawa wanapokea cm AF awaongei
Sema akili ya kuwarekodi ili nimtumie mkurugenzi wao ilinijia kipindi hawapokei cm zangu so nlishindwa kuwwshughulikia
Sita saau Dada 1 iv alinijibu nyodo sana
to be honesty Voda costumer care wanazingua ni hataree
Mkuu mimi nime record toka napiga huduma kwa wateja 100, hadi kukatuka simu dakika 3.30, lakini nashindwa ku upload hapa.
Nikifanikiwa nitaiweka.
 
Back
Top Bottom