Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sony Xperia Z3 Brown Color USA version . 3Gb Ram, 16 GB internal, 4G LTE , With its Original Charger and Cover. Used for two months only. Price. 480,000/= maongezi yapo. Niko Arusha DC.
0 Reactions
1 Replies
667 Views
wakuu hakuna asiyejua miongoni mwetu kuwa,jiji la DODOMA linaongoza kuwa na UBUYU mwingi tena mtamu, sasa kwa nini kisijengwe kiwanda cha kutengeneza ubuyu?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa wale waliozaliwa vijijini mtamjua huyu mdudu. Yaani kuna mdudu kwa jina simjui lakini huwa muda wa giza giza anawasha taa na kuzima kama zile za kichina za Christmass na wengine hukaa chini...
17 Reactions
114 Replies
16K Views
Nimessoma kwenye Youtube na kugundua kuwa kumbe hela yetu ya Tanzania thamani yake ni ndogo sana ukilinganisha na Dollar za Kimarekani. Ifuatayo ni orodha za nchi za Kafrika ambazo thamani ya...
2 Reactions
18 Replies
13K Views
Sijaelewa siku zote ni kwa nini kwenye wimbo wetu wa Taifa tunaanza na Mungu Ibariki Afrika halafu ndiyo tunamuomba aibariki Tanzania yetu? Kwa nini tusimuombe aibariki Tanzania yetu kwanza...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Pamoja na Kuwa na shahada moja toka chuo kinachoitwa cha kata ila nibahoja moja ambayo wenye ELIMU kutika Havard na vyuo vya taifa Tanzania waniambie majibu yake 1.Utakuta SHULE za msingi kuna...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Tangu jana Najarb kumpigia Mshkaji wangu matokeo n kwamb simu yake inaita ila hapokei, Japo Msg Anajibu, Cha kushangaza anaomba Hela na amenipa namb nyingne ya Aiter ili nitume pesa kweny namba...
1 Reactions
9 Replies
688 Views
Serikali ya Tanzania isilale, kuna tatizo kubwa sana la uvamizi la wageni humu nchini hasa wakenya na Wanyarwanda. Mbaya zaidi hawa watu wameanza kujiita watanzania wenye asili ya kichaga. Wengine...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu katika cover la wimbo wake mpya, mzee madaraka ameibuka na kusihi...
18 Reactions
472 Replies
53K Views
Ndugu wana jamvi kwa utulivu na upendo napenda kuweka hoja ya mjadala wa Mali na asset anazomiliki mh. rais wetu, ni kwa nia njema kabisa yeyote achangie. NB. maneno ya kejeli na majina yasiyo...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
Nmelud jamani baada ya kukaa muda mrefu bila kuchati humu jf... Nikaribisheni bandugu.
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Karibuni Eternal International kuja kupima afya ( body checkup) bure kabisa Kwa Siku ya kesho, Tupo posta mpya Benjamin Mkapa Tower -Mezamine Tupigie 0714547830 Kwa maelezo zaidi na kuja...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimefikiria tu ni kiasi gani watanzania wanapoteza kila siku kwenye unywaji wa pombe . Na madhara kiasi gani wanayoyapata baada ya kunywa pombe naamanisha kiuchumi na kiafya . Watu wanapoteza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za mwisho wa juma wakubwa. Kuna swali mwenzenu huwa linanisumbua naomba nililete kwenu tusaidiane kupeana majibu. "Hivi kwa kiswahili neno MZUNGU lina maanisha nini. Ni mtu yeyote mweupe...
1 Reactions
103 Replies
34K Views
Maeneo ya mbagala charambe nilisikia sauti kubwa za milipuko kama ya silaha za moto mida ya saa tano usiku ambayo ililia mara tatu kama kuna mtu anajua kilichojiri taarifa tafadhali.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajukwaa naomba kwa mwenye uelewa na dawa hii anipe mwongozo yakinifu
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Manispaa wanajenga uzio wa standi ya mabasi ya mkoa(FENSI) .. CDA wameuwekea X.. Wajuvi mtuambie nani ni mkubwa hapa anayepaswa amuheshimu mwenzake..
0 Reactions
17 Replies
4K Views
amani iwe kwenu Nina imani kila mwenye imani ya kikristo ameshakwenda kanisani na kukamilisha ibada yake maalumu ya siku ya pasaka Na sasa ni muda maalumu wa kurudi nyumbani kungonja...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Tafadhalil tafadhali Morogoro kuna uhaba wa bia pendwa ya balami,kwa heshima na taadhima tunaomba haraka sana mtusambazie bia yetu pendwa kwani kwa jinsi mkuu alivyobana tutaua kwa njaa familia...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Magazeti karibu yote ya leo yameongelea habari ya vyeti vyeki yaani habari ya watu 9000 wenye vyeti feki ndio ime-make headlines na sio habari ya uzinduzi wa hostel za UDSM. Kingine...
52 Reactions
125 Replies
13K Views
Back
Top Bottom