Waliokimbia mikoani na kwenda Dar kutafuta maisha

Jan 17, 2017
86
95
Huu uzi ni maalumu kwa wale waliotoka mikoa mingine na kwenda Dar bila kuwa na kazi maalum.
Unakuta mtu hana elimu yeyote, hana kipaji hana kazi anadandia gari anajikuta dar. Anaanza kukomaa ili mradi apate pesa za kula hata mara moja kwa siku.Maana kuna wengine tulisoma nao na ukibahatisha kukutana nao utashangaa, wanaishi kama mifugo walioiacha makwao. Kwa sababu wengi wao nyumbani kwao wana mifugo, mashamba na kuna fursa kibao. Hivi kwa nini asikomae kwao akaleta maendeleo anaenda kuteseka Dar? Sijui ni uelewa mdogo...
Nisaidieni labda kuna mwenye mawazo ya ushawishi. Mie nilienda kusoma tu, ila huku nilipo huwezi kunishawishi niende Dar
 
Sasa kwa awamu watarudi mikoani hakuna dili maisha magumu hakuna mtu anauwezo wa kutunza mtu asiye na kazi.
 
Back
Top Bottom