Ningekuwa papa, pasaka ingeishia kanisani hizo sherehe ni uwanja wa maovu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Mambo ya kanisa yanapaswa yaishie kanisani.
Sherehe yoyote nje ya kinachofanyika kanisani ni urimbo wa dhambi na maovu.
Dunia nzima leo kutakuwa na kiwango kikubwa cha ufanyaji ngono ...
Walevi wengi kila kona
Watu kujeruhiwa
Ajali maana Wengi huendesha magari wakiwa wamelewa
Ni aibu sherehe za kidini polisi ndio wanatumia resources nyingi kuliko siku Za kawaida wakati sikukuu za dini polisi ndio walipaswa kuwa off.

Pasaka ilipaswa kuishia kanisani...
 
Nipo bussy na mahondaw tangu jana.
Nimechukua na simu yakw hadi badae ndio nitampa aje online.
Tunawatalia pasaka njema
 
Hayo maovu unayoyasema ni Tabia binafsi za mtu hivyo usijumuishe wote washerekeayo hii Sikukuu kuwa watafanya kama unavyowaza.
 
Niko mitaa ya sinza bamaga watu wamejaa na viti vinazidi kupangwa kuelekea barabarani kazi ipo leo polisi wanakazi Leo tuwaombee
 
Papa hausika na shughuli mtu binafsi

Papa ni Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.

Papa hana mamlaka na sherehe za watu majumbani kwao wala ktk ma hall
 
sikia pasaka haisherekiwi na wakristu tu ila kila mtanzania husherekea ndio maana huwa tunapimzika kufanya kazi
 
Mambo ya kanisa yanapaswa yaishie kanisani.
Sherehe yoyote nje ya kinachofanyika kanisani ni urimbo wa dhambi na maovu.
Dunia nzima leo kutakuwa na kiwango kikubwa cha ufanyaji ngono ...
Walevi wengi kila kona
Watu kujeruhiwa
Ajali maana Wengi huendesha magari wakiwa wamelewa
Ni aibu sherehe za kidini polisi ndio wanatumia resources nyingi kuliko siku Za kawaida wakati sikukuu za dini polisi ndio walipaswa kuwa off.

Pasaka ilipaswa kuishia kanisani...

Okay wazo zuri. Sasa hapo papa anahusikaje? Naoanisha habari na heading tu!!
Kusheherekea si iko at personal level?
 
Mambo ya kanisa yanapaswa yaishie kanisani.
Sherehe yoyote nje ya kinachofanyika kanisani ni urimbo wa dhambi na maovu.
Dunia nzima leo kutakuwa na kiwango kikubwa cha ufanyaji ngono ...
Walevi wengi kila kona
Watu kujeruhiwa
Ajali maana Wengi huendesha magari wakiwa wamelewa
Ni aibu sherehe za kidini polisi ndio wanatumia resources nyingi kuliko siku Za kawaida wakati sikukuu za dini polisi ndio walipaswa kuwa off.

Pasaka ilipaswa kuishia kanisani...
Tumekuelewa...
 
Lengo la sherehe sio kutenda dhambi. Huwezi kuzuia watu kufanya kitu eti kisa kitawapelekea kutenda dhambi. Dhambi zipo nyingi, mfano ulafi. Sasa huwezi kuzuia watu kula eti kisa wakizidisha itakuwa dhambi. Naomba uelewe hilo mleta mada na wengine wote wenye hayo mawazo.
 
Back
Top Bottom