wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,542
Mil 10 zangu zimeshikiliwa na majambazi hayataki kunipatia pesa zangu.
Pasaka hii watoto wangu wanakula ugali bamia halafu Kwa jirani pilau kuku linanukia, na Coca Cola baridi jirani anajiachia tu.
mwanangu wa miaka mitano kapagawa baada ya kuona ugali bamia na jirani pilau, mwanangu alipolia Kwa uchungu nami nikalia Sana Kwa hasira, ni bora usizaliwe kuliko kuzaliwa ktk taifa dhulumati Kama hili.