nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Maelezo ya kwenye picha yanaeleza kila kitu.
Swali,
Tunatokaje!?
Asante!Nilosoma mahali, watumwa walipofika America waliweza kuwasiliana pasi mabwana zao kuelewa. Hii iliwakera sana, sheria ilitungwa watoto wote wa watumwa wanapaswa kwenda boarding school kuanzia umri wa miaka 7, kule ilikuwa marufuku kuongea lugha nyingine yeyote na lugha zao ziliitwa za kishenzi. Term ilikuwa ni miezi sita na unarudi nyumbani kwa wiki mbili. Hii ilikuwa njia ya kuua lugha nyingine zote na watoto wote waliongea English.
Nilosoma mahali, watumwa walipofika America waliweza kuwasiliana pasi mabwana zao kuelewa. Hii iliwakera sana, sheria ilitungwa watoto wote wa watumwa wanapaswa kwenda boarding school kuanzia umri wa miaka 7, kule ilikuwa marufuku kuongea lugha nyingine yeyote na lugha zao ziliitwa za kishenzi. Term ilikuwa ni miezi sita na unarudi nyumbani kwa wiki mbili. Hii ilikuwa njia ya kuua lugha nyingine zote na watoto wote waliongea English.
Ndio maana black Americans ukiwaambia wao ni genuine from Afrika wanaweza kukuuaNilosoma mahali, watumwa walipofika America waliweza kuwasiliana pasi mabwana zao kuelewa. Hii iliwakera sana, sheria ilitungwa watoto wote wa watumwa wanapaswa kwenda boarding school kuanzia umri wa miaka 7, kule ilikuwa marufuku kuongea lugha nyingine yeyote na lugha zao ziliitwa za kishenzi. Term ilikuwa ni miezi sita na unarudi nyumbani kwa wiki mbili. Hii ilikuwa njia ya kuua lugha nyingine zote na watoto wote waliongea English.
Bahati mbaya hata hatuna nia ya kuamka even though tumejua aliyeturoga.
Waafrika wamelogwa na dini
Anaeamin alikia ngedere hamna kitu huyo!MKWEPA KODI Ungekuwaje ngedere wakati babu zetu walikutwa Ni watu wenye ustaarabu Na utamaduni Wao?, kwa hiyo wewe unaamini mzungu ndio kakufanya mtu?, brain washed!
Uongo mwingine unafurahisha. Watumwa gani walikuwa wanaenda shule tena boarding?
Assimilation + Tabolarassa + LifeSasa hivi ningekua nimevaa nguo made in Tanzania, tv naangalia made in Tanzania.
Watu bado wanaamini Kiingereza ni lugha bora, na kila kinachomhusu mzungu ni bora. Akiquote ili umuone ana akili atakuja na maneno kayatoa kwenye kamusi utadhani hajui kiswahili.