Usipande ndege kipindi hiki maana unaweza kutana na Missile na yenyewe inatokea N/Korea kwenda US!

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
4,328
6,659
Makampuni karibuni yote ya ndege yana jua hilo .Na tayari mengi yamefunga hii system
Flight Guard is an Elta Systems Ltd's brand name for a family of airborne systems for protecting civilian aircraft against man-portable air-defense systems.

DescriptionEdit
Elta's Flight Guard is a missile detection and avoidance system that is installed on more than 200 military aircraft and helicopters as well as on several VIP commercial aircraft, and has been also installed in aircraft of the El Al,[1][2] Arkia[citation needed] and Israir[citation needed] fleets that fly to high risk destinations.

In September 2003, a year after an attempt was made to shoot down an Arkia Israel Airlines Boeing 757 in Mombasa, Kenya in 2002,[3] the Israeli Ministry of Transportation selected Elta Systems to perform advanced flight tests of Flight Guard for protecting its commercial aircraft. Part of the funding was used to obtain certification of the system by Israel's Civil Aviation Authority (CAA).

The system chosen comprised a radar-based missile approach warning system (MAWS) and countermeasure dispensing system. The system was chosen since it is specifically designed to defend low-flying aircraft against MANPADs, such as those utilized in the attack in Kenya. The automated system uses doppler radar to detect incoming missiles, before firing IMI-designed civilian flares to decoy incoming infrared-homed missiles.
 
NK,50% ya zile silaha ni fake na zingine zimezeeka na zinatumia technolojia ya kizamani.
 
Natoa tu tahadhari kwa nyie wazee wa angani, acheni kabisa au jipeni ka likizo.
IMG-20170407-WA0000.jpg

Ndio maana niliamua baby wangu atumie usafiri huu.....
 
NK,50% ya zile silaha ni fake na zingine zimezeeka na zinatumia technolojia ya kizamani.
Hivi wewe inaonekana ni mlopokaji mzuri sana eti silaha fake,hivi ni mzima au ndo Bashite,ufikirii hivi silaha za NK zingekuwa fake huyo unaemuona mungu wako USA mpaka hivi si angekuwa kishatupa hata Bomu moja tu,lkn mbona katulia na ameambia anza uone,embu kuwa na akili Acha ushabiki wakipuuzi wewe,unakuwa kama Mr,0 yaani unaandika eti fake kwa lipi linalokupa prove
 
NK,50% ya zile silaha ni fake na zingine zimezeeka na zinatumia technolojia ya kizamani.

Thubutuuuu!!

China , Iran na Russia ana mkono wake kwenye Silaha Za NK.

Jiulize vikwazo zaidi ya 50+ years bado yupo anadunda unafikilia huyo ni mtu wa kawaida!?

Mfano, China anamuuzia vifaa NK, tena NK wanasayansi wake wanaisaidia Iran kutengeneza nukes arsenals Kwa hiyo NK siku ataiweka Washington DC na Pentagon chali, ndiyo akili zitawarudia!!
 
Hivi wewe inaonekana ni mlopokaji mzuri sana eti silaha fake,hivi ni mzima au ndo Bashite,ufikirii hivi silaha za NK zingekuwa fake huyo unaemuona mungu wako USA mpaka hivi si angekuwa kishatupa hata Bomu moja tu,lkn mbona katulia na ameambia anza uone,embu kuwa na akili Acha ushabiki wakipuuzi wewe,unakuwa kama Mr,0 yaani unaandika eti fake kwa lipi linalokupa prove
Daah mbona matusi mengi lakini mkuu? Sioni sababu ya wewe kinishambulia kivyo!
 
Thubutuuuu!!

China , Iran na Russia ana mkono wake kwenye Silaha Za NK.

Jiulize vikwazo zaidi ya 50+ years bado yupo anadunda unafikilia huyo ni mtu wa kawaida!?

Mfano, China anamuuzia vifaa NK, tena NK wanasayansi wake wanaisaidia Iran kutengeneza nukes arsenals Kwa hiyo NK siku ataiweka Washington DC na Pentagon chali, ndiyo akili zitawarudia!!
Hamna kitu km icho! NK hawezi kuikalisha USA trust me
 
Hii ndio bongo wazee wa kubadirishwa mawazo na mitandao + watu mashuhuri...

Now ni inshu za vita tu... zikiisha tunasubir mbunge aongee kitu . Tukidake tukivalie njuga... hatuna habar no shobo ndo uwezo weetu wa kufikir
 
Back
Top Bottom