Hellow,
Mambo vp,
Leo nimeamua kuwaambia wanaume wenzangu ukwel, hivi kuishiwa nguvu za kiume imekua fashion au ndo swaga, unakutana na katoto ka miaka 22 nako kanasema kana matatizo ya nguvu za...
Habari Zenyu Waungwana,
Kuna Ujenzi Unaendelea Wa Barabara Za Ndani Ktk Eneo La Makumbusho Kurahisisha Uingiaji Wa Mabasi Kwenye Kituo Cha Makumbusho Ni Jambo Jema, Ila Kabla Hawajafika Mbali Na...
Wana JF, Heri ya pasaka.
Nikiwa nimepumzika Jana jioni hapa mitaa ya Mwenge nimeguswa bega na kijana wa Kimasai na kunijuza kuwa anauza dawa za kuongeza ngufu. Mimi nikamuuliza nguvu ipi...
Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? Au history, geography ni...
Jana ktk mechi ya Toto Africans Vs Simba Sport Club, TFF waliuza ticket za mechi ya zamani ya Yanga Sports Club VS Simba Sports Club.
Mm nilipo kabidhiwa yangu ilinibidi nishangae kidogo. Make...
Nina umri wa miaka 36,kutokana na tekateka nataka nijifunze karate,kabla sijamtafuta sensei je ni mazoezi gani nifanye ili yakanisaidie kurusha kick(geri),mateke..msamba unanishinda nmekomaa...
Mwigulu Polisi walitegemea kuskia hayo kutoka kwako na kwa namna hii umeongeza morali kwa askali wetu...... watanzania tumekuelewa, wizara yako imeskia, jeshi la polisi limefurahi - IGP ni...
Habari za mchana waungwana.
Leo nimeona bora niwape somo au dawa ya asili kwa wale ambao wanapata shida wakati wa kujifungua, hakuna haja ya kwenda kufanyiwa operation pindi endapo unaona tatizo...
Niliwahi kuandika humu ndani kuwa tujijengee utamaduni wa kukataa kuua askari kwa sababu yoyote ile.
Katika jamii zetu kuna watu wengi ambao wamepitia dhuluma kubwa wakiwa mikononi mwa polisi.Kuna...
Naishauri serikari sasa ijikite kuwekeza vijijini ambako kilimo kinaweza kuwa msaada wa uchumi wetu kuliko kuwekeza zaidi dar es salaam mfano kama ujenzi wa flyovers, mwendokasi nk. ambavyo havina...
KESI YA MAUWAJI YA YESU
Dola Indidis ni mwanasheria kutoka Kenya aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria...
Habari za sikukuu wapendwa, Sorry Mbona me nashindwa kubadilisha email??? Naenda pale kwenye update email naweka email ya zamani. Naweka na mpya ila nikiupdate inakataa. Hainipi jibu lolote
Wakuu
Natumia simu aina ya HUAWEI y520
Simu hii imekuwa ikikumbwa na ta tatizo na kunitolea ujumbe unaosomeka kwamba unfortunatly phone apps has stoped huku ukipoteza network na simu kushindwa...
Dunia inapitia wakati mgumu sana kwa sasa.
TB JOSHUA,katika mahubiri yake,amesema ameota.
Amesema ya kwamba ameona katika njozi,mshale ukitupwa kutoka Korea Kaskazin ukielekea mataifa mengine...
Habari za jioni,
Baada ya tukio la kuuliwa askari wetu, jana nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe baadhi ya vijana wakiwa wamelazwa chini huku wakichapwa bakora. Leo hii watu hapa bungu...
Vyoo vya tanroad mbezi mwisho kituo cha mabasi wanafanya biashara au huduma... maana sijawahiona huduma ya choo haja ndogo tsh 500 na haja kubwa 1000 duh.. yaani kama mgeni ndio unafika huna hiyo...
Ni wiki ya 2 sasa Wauzaji wa jumla, Riquor stores na mabaa hayana Konyagi ndogo na ile Valeur ya chupa. Au ndio na zenyewe mmezipiga ban? Maana walipofungia viroba, hizi chupa ndogo ndogo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.