ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 682
Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kupata eneo la biashara au la kufungua maofisi kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Hii ni kutokana na mji kuwa na eneo finyu sana katikati. Ingependeza sana kuona madhari mazuri ya mji yakianzia maeneo ya jengo la kilimo kwanza au zaidi ya hapo.
Hili serikali inaweza fanya hata na kusaidia na wawekezaji wa nje au wafanyabiashara kuweza kupata fedha za kulipa fidia kwa wakazi ambao maeneo yao yatapitiwa na upanuzi huu.
Hii hesabu kwa sasa hivi inaweza onekana kama haina mashiko ila piga hesabu ya miaka 15 au 20 ijayo serikali itakavyopata shida kwenye kulipa fidia watu hawa kwani watahitaji kiasi kikubwa kuondolewa au inaweza kuwa yakawa maeneo mengine yameshafanyiwa uwekezaji mkubwa baada ya kununuliwa na watu binafsi.
Upanuzi huu mkubwa unaweza wapa eneo ambalo wanaweza mchoro wenye muundo mzuri wa majengo na kuwa kama eneo la mradi wa medeli unavyopendezesha mji