Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanaforum. Naomba kujuzwa hali ya barabara muheza-pangani wakati huu wa mvua ikoje.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi!? Nilitamani kujua kuendesha gari na nikaona ni muhimu nikasomea driving nikapata na leseni takribani mwaka mmoja na nusu uliopita. Tatizo ni kwamba toka nimemaliza mafunzo...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Jana nimepaki gari in few minutes naingia one of the shopping malll ndani ya Rock City Mwanza shopping Mall nakuta wameniibia side light, na isingekuwa kuwahi alikuwa kasaanza kungoa Side...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu mheshimiwa kama bandiko linavojieleza ni kuwa watumishi hawana wa kuwasemea wanafanya kazi masaa mengi wakati shughuli nyingine za maendeleo zinalala Lengo la bandiko hili ni kuleta hoja...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe ametangaza mabadiliko muhimu katika biashara ya mkaa nchini na kusema kuwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu hakuna mkaa wowote utakaosafirishwa...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Habari zenu wadau humu?! Mnamo 20 March 2017 nilileta maada humu ya kulalamikia madai yetu sisi mafundi na vibarua Dodoma, hapa. Ilikuwa na kichwa kisemacho; DODOMA, Ujenzi wa Ofisi za Waziri...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Ukweli ni kwamba nchi yoyote duniani iliyoendelea kiuchumi imepitia au imo katika uchimbaji,uchenjuaji na utumiaji wa madini ya Uranium. Nchi hizo zilianzisha shughuli hiyo bila amri ya nguzo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu wadau, hoja yangu hapa ni matamshi ya Jpm ktk tangazo la kukata umeme ambapo ktk kusisitiza raisi alisema kuwa neno kata limeundwa na maneno mawili yaani 'ka' na 'ta'. Kiisimu 'kata' ni neno...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna taarifa zilizoanza kuzaa Katika mitandao ya kijamii kumuonesha mchezo wa tennis No 2 kwa ubora na maarufu duniani wa kike Serena William akiwa na mjamzito wa miezi 5 yaani wiki 20 baada ya...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
MKAZI wa Kijiji cha Bisarwi, kata ya Manga, tarafa ya Inano, wilayani Tarime, mkoani Mara, Mwita Nyagosaima (31) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Tarime akidaiwa kuvamia usiku nyumbani kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii Gari imeibiwa Leo mbezi msakuzi naomba Msaada kusambaza taarifa kwa magroup mbali mbali no za mwenye gari0767468901
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kim bwana ananipa raha sana et "Risasi ya kwanza itakayoingia toka Marekani ikitokea baharini au angani kuingia ardhi ya Korea Kaskazini, basi tutaijibu risasi hiyo kwa kuifunika Marekani kwa...
1 Reactions
7 Replies
915 Views
BBC ni moja kati ya shirika kubwa ambalo hufaamika kwa kutoa taarifa za habari mbalimbali,lkn mnamo 18 April 1930 ikiwa ni miaka 87 imepita shirika hilo lilikosa habari ya kutangaza! ilipofika...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
kuna utapeli mwingi ambao nimewahi kuusikia hapa tanzania lakini huu umenistua kidogo. na umenifanya niamini kwamba tanzania nayo inaweza ikawa ipo kwenye listi ya nchi zinazongoza kwa utapeli...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mambo muhimu mengi serikali inajitahidi kufanya....niwapongeze kwa hayo..ila kero ya upatikanaji wa maji safi na salama bado inasumbua sana hususani katika vijiji vingi hapa...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Habari waungwana wote Wiki hii nimeamua kuingia jijini dar jiji la mdogo wetu wa kule kwetu Dhumuni la safari yangu ni kuja kwenye shughuli zangu za kibiashara na kutalii kidogo na kuangalia...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka juzi nlimtembelea jamaa yangu mmoja tulisoma naye primary.alisisitiza sana nimtembelee kwake nikashinde siku nzima. Basi nikaenda jumamosi.ameoa ana watoto wawili. Tukiwa sebulen watoto wake...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau wa jf hamjambo, nimefanya HIV testing mda huu, bahati nzuri matokeo niko -ve ahsante Mungu. hili ni fundisho la kuachana na mademu wengi na kuwa nae mmoja tu ili kupunguza hatari ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom