Hivi mmeona wapi steji ya kuperform ambayo haina taa? Hivi inawezekana vipi flash ya wasanii inagoma kusomeka?
Hayo yametokea jana kwenye kwenye Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Msama...
Habari wana JF,
Nina mtoto wa mwaka mmoja na ninaishi maeneo yenye baridi basi kila nikimvalisha nepy akikojoa unapenya hadi nguo ya juu na soks zinaloa. Naomba kujua diper ambazo hazina madhara...
Mtandao wa Airtel ni mtandao wenye uhakika lakini kwa muda wa siku mbili kuanzia juzi hapa Mwanza kuna matatizo sana.
Tunaomba mfanye marekebisho ya haraka sana kwa sababu tunapata taabu sana.
Matukio ya uvunjifu wa sheria za usalama Bara barani bado yanaendelea kuoteza nguvu kazi ya Taifa wakiwemo Vijana wazee na watoto huku wengine wakiachwa na ulemavu wa kudumu na wengi kuendelea...
“Kansa iliyopo katika vichwa vya viongozi wetu barani Afrika kuwa maendeleo ya nchi zao hayawezi kufikiwa bila kujua lugha ya Kiingereza ni mbaya kwa kuwa inawanyima watu fursa nzuri ya kuelewa...
Hali ya Serikali ya sasa si rafiki kwa uwekezaji Tanzania kutokana na mazingira yaliyoonekana kuwa mazuri awamu iliyopita kutoweka ghafla na kuacha wawekezaji wengi njia panda huku wengi...
Tujikumbushe... baadhi ya matukio ambayo tuliipashwa kupata majibu yake ila tulishasahau...kama vile hakuna kilichotokea...
1.Bomu lililolipuka Arusha katika mkutano wa chadema
2.Richmond wausika...
Ndugu zangu watanzania, msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ilikuwa ndo kimbilio la mamilioni wa Kanda ya Ziwa na sehemu nyingine nchini. Kweli ilikuwa ikitoa...
Najiuliza kila siku ila sipati majibu.
Hivi inakuwaje kuhusu hizi fedha tunazozihifadhi kwenye mitandao ya simu, warithi wa marehemu wanapata stahili zao mara mtu anapofariki? Hii ni kwa sababu...
TOL, Tanzania Oxygen Ltd imekuwa ikivuna Carbon Dioxide pale Mlima Kyejo ka miongo sasa. Cha kushangaza hakuna chochote kinachoonyesha wananchi wa Kyejo kufaidika na uchimbaji wa gesi hii.
Hii ni...
Habari ndugu zangu,
Mwenzenu nina changamoto moja; Nina login vizuri tu kwenye Computer, lakini kwenye Simu na iPad Password inakataa. Nimejaribu kureset lakini sipati Email ya JamiiForums...
Habari wadau
Leo nimejaribu kupita huko kwenye jukwaa la siasa na sehemu nyingine nimekuta mada nyingi ni za jana hata wale wa magazeti pia siwaoni
Nauliza tu ni kwamba hawajaamka au leo hakuna...
Salam WanaJamvi!
Kwa wale wakazi wa Jiji la Dar ni wazi kwa kila siku zinavyoenda ndivyo agizo la Mkuu wa Mkoa la kufanya usafi kila siku za jumamosi linavyozidi kupoteza mvuto. Ni wazi mwitikio...
"kibaya zaidi nimefikishwa kituoni centro RPC ananiambia una bahati tumekukamata asubuhi watu wanaonalakini ungekamatwa usiku MTU yoyote asione tungekupoteza" Anasimulia:Mdude Nyagari a.k.a. Sumu...
Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana...
Hiki ndicho kilichonifanya nianze uzi bila salaam kutokana na vitendo visivyo vya kizalendo vya askari polisi kupiga na kuumiza raia ambao sisi tunasema kuwa hawana hatia.
Baada ya kutokea...
Hello Gentleman and ladies,
Kwa muungwana anayejua website ipi naweza kupata hiyo Gari tajwa please msaada .hasa hasa Uingereza wakuu wa nchi .KUWENI na usiku mwema wapendwa ,
Assuming Tanganyika ndio inakabidhiwa uhuru wake mwaka 2017, Je, wangekuwa wametumia kodi zetu kujenga flyover, Airports, SGR's na ndege za kutosha, au na wao wangeishia kuwa kama awamu ya pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.