Mwenzenu mi naogopa, tayari washaanza kukamata wanaolibeza jeshi

Bashitee

Member
Mar 14, 2017
89
60
Dahh ndo baasi tena
Screenshot_20170417-110858.png
FB_IMG_1492416528136.jpg
 
Uongo...

Hiyo picha haina uhusiano na mmiliki wa hiyo account...
Jamaa kuamua tu kuunga hiyo picha ili kuvutia wasomaji mbumbumbu.
Hivi kwa mfano kama waliwahi kunitesa either katika mikutano ya siasa au kusingiziwa makosa wanataka niomboleze nao niseme maskini askari wetu. Mimi naona ni kinyume cha sheria kulazimishwa kuomboleza au kusikitika. Tuko uhuru ingawa uhuru una limit ila hiyo limit isiwe ni kosa la jinai
 
alikuwa maejificha nyuma ya key bord ya simu/ compyuta akidhani haonekani? " PEN IS MIGHTIER THAN SWORD" Derry v Peek [1889] UKHL. Take care
Mzembe huyo

Kwa sheria hii ya cyber crime huwezi kutoa comment hiyo ukiwa uchi

Tails+tor au qubes+Tor kwa hizi vitu viwili VPN haina umuhimu kivile japo +VPN unakuwa more secured

Unakuwa salama nyuma ya keyboard
 
Back
Top Bottom