Mshihiri80
Member
- Feb 21, 2017
- 34
- 55
Wakuu mambo vipi!? Nilitamani kujua kuendesha gari na nikaona ni muhimu nikasomea driving nikapata na leseni takribani mwaka mmoja na nusu uliopita. Tatizo ni kwamba toka nimemaliza mafunzo sijaendesha gari. Nimegundua si kwamba magari ya kuendesha hakuna bali ni nafsi yangu haiko tayari. Naogopa. Hali hii ninaishinda vipi!? Kuna mtu anamjua mtu mwingine mwenye hali kama yangu!?