Wana bodi amani iwe mioyoni mwenu.
Yule askari wa barabarani bwana Malisa aliyepata majanga barabarani na kupumzishwa nyumbani kama mwaka hivi akiuguza majeruhi aliyoyapata kutokana na ajali ile...
I spend alots of my time listening Online radio as well BBC news i have two aims of doing this first to Get currently news that happen all over the world, Secondly I like to Improve my Listening...
Habari wakuu,
Napenda kuwashauri wale ndugu zetu waliopata au wanaotarajia kupata ajira hivi karibuni suala la mikopo msilifikirie kabisa.
Kuna ndugu yangu yeye ni mwalimu alikaa mwaka mmoja tuu...
Habarin wanajamvi, natumai tupo pamoja.
Kuna jambo linanikwaza na kwa kuwa hii ni sehemu yenye great thinkers nina imani mtanisaidia.
Mimi ni mlezi na ninapokea malalamiko kutoka kwa mwanangu...
Wanajamvi,
Miaka ya nyuma ili upate ajira serikalini au upate kuendelea na masomo ya elimu ya juu,ilikuwa ni lazima uende jeshini kwa mwaka mmoja JKT ili kujitolea kulijenga taifa,kujifunza mbinu...
Kuna taasisi isiyokuwa ya kiserikali ambayo makao makuu yake yapo Kenya na Tanzania imeanza kufanya kazi.
Moja ya majukumu yake ni kusaidia waathiri wa virusi vya Ukimwi kwa kuwapa...
Habari zenu wakuu, tunaonana kwa Mara nyingine. Inasemekana kusoma kitabu au hata jarida na nakara yoyote ni sawa na kupiga story na muandishi husika, hivyo ukisoma kitabu cha Donald Trump basi...
Dar es Salaam April 20, 2017: kumekuwa na taarifa za upotoshaji, hasa katika mitandao ya kielektoniki ya kijamii, kuhusu thamani halisi ya hisa za Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc (VTL) ambazo...
Dar es Salaam April 20, 2017: kumekuwa na taarifa za upotoshaji, hasa katika mitandao ya kielektoniki ya kijamii, kuhusu thamani halisi ya hisa za Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc (VTL) ambazo...
Hongereni Jamhuri ya Kenya kwakuchokonoa ajira mpya TANZANIA maana bila hivyo wengine tungebaki na msoto ni miaka mitatu niko kwenye makampuni ya watu.
Pia naishukuru mahakama ya Kenya kwakuweka...
Kila siku nilijiona kama Baba bora, nikifanya kazi kwa bidii kuhakikisha kua watoto wangu watatu wanaishi katika mazingira mazuri. Sikutaka wakose chochote kwani walikua wanamaanisha kila kitu...
Hili tukio limetokea jana usiku mida ya saa 6 usiku Mwananyamala, watu wanawake kwa wanaume kama 7 walikuwa wamekaa kwenye mgahawa wanakunywa, ghafla ilitokea gari aina ya Noah ya kijivu ikaja...
Wakuu kwanza habari. Poleni na majukumu kwa ambao tayari wako mahangaikoni kama mimi lakini pia Asubuhi njema kwa wanaoamka na waliozidi kung'ang'ania mashuka.
Naomba nianze makala yangu...
STAMICO imeanza maandalizi ya mradi wa uchimbaji makaa ya mawe, Kabulo Wilayani Ileje, Songwe, baada ya kukamilisha maandalizi ya eneo la mradi. Uchimbaji unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi...
Watanzania tunachelewa kuendelea kwa sababu ya kukosa taarifa kamili sasa tuna ugonjwa wa kuamini taarifa ya upande mmoja peke yake.
Kuna watu nia yao haijulikani ni ipi kila kitu wanapotosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.