Serena William alishinda Australia Open Cup January akiwa mjamzito???

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Kuna taarifa zilizoanza kuzaa Katika mitandao ya kijamii kumuonesha mchezo wa tennis No 2 kwa ubora na maarufu duniani wa kike Serena William akiwa na mjamzito wa miezi 5 yaani wiki 20 baada ya kupost picha yake ktk snap chat na kuandika 20 weeks na baada ya muda mfupi akaifuta

Na inaonekana alipokuwa ktk fainali za Australia Open January 2017 alikuwa mjamzito na kuchukua kombe.

Toka achukue kombe hilo hajaonekana uwanjani mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom