KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,265
- 69,511
BBC ni moja kati ya shirika kubwa ambalo hufaamika kwa kutoa taarifa za habari mbalimbali,lkn mnamo 18 April 1930 ikiwa ni miaka 87 imepita shirika hilo lilikosa habari ya kutangaza! ilipofika muda wa kutangaza habari mtangazaji alisema "hakuna habari" hivyo walitumia muda huo kurusha vipindi vyengine.
moja kati ya sababu iliyosababisha kukosa habari ni teknolojia ya miaka hiyo!
Chanzo BBC wenyewe