Serikali iangalie kero ya upatikanaji wa maji safi na salama

Jum Records

JF-Expert Member
Jun 30, 2014
547
551
Kuna mambo muhimu mengi serikali inajitahidi kufanya....niwapongeze kwa hayo..ila kero ya upatikanaji wa maji safi na salama bado inasumbua sana hususani katika vijiji vingi hapa tanzania....nimezunguka mikoa mbalimbali hapa Tz ila bado maji ni shida kubwa sana.. wanaoteseka sana na shida ya maji kufata umbali mrefu zaidi hata ya Km 5 ni wanawake, wanapoteza muda mwingi sana katika tatizo la maji.. serikali iamue kwa dhati kutatua tatizo la maji.. nawasilisha..!
 
Back
Top Bottom