Ahsante Mungu, michepuko sasa byeee

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
11,136
19,871
wadau wa jf hamjambo, nimefanya HIV testing mda huu, bahati nzuri matokeo niko -ve ahsante Mungu.
hili ni fundisho la kuachana na mademu wengi na kuwa nae mmoja tu ili kupunguza hatari ya kudumbukia kwenye moto hatari.
ea3b190b9cb004bfe2efe9668a1b69cb.jpg


kwa wale ambao bahati mbaya wako +ve, msiwe na shaka zingatieni maelekezo ya wataalam wetu wa afya, no one is absolutely safe, kuna wengine hawana HIV/aids lakini wana cancer au kisukari.
tupendane tusibaguane wala kunyanyapaliana tupo njia moja, hakika tu MAVUMBI

may the Almighty God be with us, Amen
 
Hongera sana Sagudah....
Punguza sasa michezo michezo, kulinda afya yako.
yaani mkuu michezo ya kijinga saivi kando, maana tunajipa shida ya kuanza kuassume kuwa kila mchepuko wa mchepuko wako uwe mzima ili nawe usalimike, saivi ni kumtanguliza Mungu na kuhustle na life tu baaaaasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom