kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,330
- 21,422
Habari waungwana wote
Wiki hii nimeamua kuingia jijini dar jiji la mdogo wetu wa kule kwetu
Dhumuni la safari yangu ni kuja kwenye shughuli zangu za kibiashara na kutalii kidogo na kuangalia nini kinachofanywa na serikali
Ni muda kidogo niliwahidi kufika jijini dar kuja kupanda mabasi ya mwendo kasi,sasa ndoto yangu imetimia hivi sasa nipo sehemu moja inaitwa kibamba,
Jamani kipindi kile nilipanga kupanda mwendokasi lakini nataka kufika daraja la kigamboni,fly over ya tazara,ubungo na daraja la koko beach,mlimani city,hostel za chuo na kumalizia ilipokuwa bilicanas, nikaone pamefanywa nini mpaka sasa bila kusahau ile barabara ya moroko,na kwenda airport kuangalia bombadier zilivyo
Tatizo linalonisumbua mpaka muda huu ndugu zangu ni sehemu ya kufikia yaani nipate mtu mwenye uhakika wa gari na salama,maana kama nilivyowajulisha baada ya kudunduliza tupesa vyangu nimepanga hapa jijini nikiondoka niondoke na zile gari fuso moja na pick up, trekta,
Kama mnavyojua nikiondoka nataka nipate madereva wawili sasa mwenyeji ndio atakuwa na kazi hiyo na kutunza hiki tupesa mpaka nitakapoenda huko toyota motors kwenda kununua hayo mahitaji yangu!
Nipokeeni waungwana sijali jinsia yeyote awe mwenyeji wangu!
Hapa nishachanganyikiwa nikifikiria vibaka na hiki kiroba cha pesa
Na huo utekaji mh!