Watanzania tunachelewa kuendelea kwa sababu ya kukosa taarifa kamili sasa tuna ugonjwa wa kuamini taarifa ya upande mmoja peke yake.
Kuna watu nia yao haijulikani ni ipi kila kitu wanapotosha...
Mtaani kwetu nilikokulia watu siwatambuii tena, zamani nilikuwa namjua kila mtu sasa hivi kila siku sura mpya, kila kukicha wanaingia watu wapya, hali hii inanikera sana,...
Kipimo cha wema wako anaejua ni yule ambae unayemtendea huo wema na kama umetenda wema ambao ndani yake una hira (ukiritimba )usitarajie kulipwa fadhira kamwe .Usijivune umefanya mema wakati mema...
UKWELI NI HUU
Sababu nyingi inayofanya vijana wengi wa kiume kushindwa kutusua ni ''wanawake''
Kubaliana na mimi,Wengi wa vijana tunaona aibu kufanya shughuli flani kwa ajili ya kutaka kuweka...
Mambo vipi wana jf...
Nimeamua kuwa mzalendo kwa kusapot kampuni mama ya simu TTCL...
Nataka kutumia lain zao za simu kwa data na voice
Sasa swali langu kwao ni kwamba waniambie niamie mtaa gani...
TTCL kwa kweli mmenifurahisha na bando lenu la toboa hatulali tunakesha kwenye torrents. Yaani buku kwa 10GB kuanzia saa 6 ucku kwa kweli ni raha tupu.
Ombi langu kwenu harakisheni kusambaza...
Mtoto wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ubena Tarafa ya Chalinze mkoa wa Pwani aliyefahamika kwa majina ya Karim Salum anasadikika kufariki dunia baada ya kuzama kwenye maji ya mto...
CCM akili zenu finyu sana. Sasa tatizo hapo liko wapi? Malisa alitumia takwimu kuonesha kwamba Lowassa anakubalika kiasi kidogo ndani ya CCM kuliko Dr.Slaa alivyokua anakubalika ndani ua CHADEMA...
Akaniambia;
Basi tumshauri apige marufuku magari yote maana yanatoka nje, ili baiskeli zetu za miti zipate soko.
Pia tupige marufuku viatu vyote vinavyotoka nje ili ung'ati (viatu...
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania labour party (TLP) taifa ,Agustino Mrema amemshtaki kwa wananchi mbunge wa Jimbo la vunjo James Mbatia kwamba ameshindwa kutekeleza ahadi alizoahidi ikiwemo swala...
Habari wanaJF
Wizi/uporaji wa kutumia bodaboda hufanywa na waendesha bodaboda (pikipiki), hiyo bodaboda huwa inakuwa na watu wawili dereva na mwingine huwa anakuwa kapakiwa nyuma huyu ndio...
ORODHA MPYA YA UBORA WA VYUO VIKUU TANZANIA
1 University of Dar Es Salaam
2 Sokoine University of Agriculture
3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
4 Mzumbe University
5...
Mmoja wa Askari Polisi mwenye rank ya nyota moja aliyewawa na magaidi Mkoani Pwani leo amepumzishwa katika nyumba yake ya milele Mkoani Mara.
Nilichofurahia katika eneo la tukio ni kwa jinsi...
Katika nchi duniani zenye vituko Tanzania hipo hasa wapinzani wanabadilika kama vinyunga leo watasema kwanini serikali isifanye hivi kesho serikali ikifanya wanasema sio kipaumbele bora...
Ni kawaida kusikia hata kwenye vyombo vya Habari mtu akisema ,,sisi Wasomi" hivi ni kwa nini wao ndiyo wanaojiita Wasomi? Kwa hali ya kawadia watu wengine ndiyo waliopaswa kuwaita Wasomi lkn siyo...
Hivi mtu akitaka kumjua mungu lazima ajikite kutafuta majina ya kizungu kama ni mkristo au ya kiarabu kama ni muislamu?
Hivi tumetekwa akili kila sehemu kweli? Yaani mtu akijiita Mwamfupe na...
'Mwalimu aliyehamia darasani amefanya hivyo bila mimi kujua, kashaweka mapazia vitanda na kufuli' - MWALIMU MKUU KANDAGA
Mwalimu Mkuu Kandaga athibitisha Mwalimu mmoja kuondoa madawati na kuanza...
Kemikali hiyo ya Fluoride ndio inayotumika kusafishia maji tunayokunywa na pia inapatikana kwenye dawa moja ya meno maarufu nchini.
Nchi zilizoendelea kama Marekani wamepiga marufuku matumizi ya...
Wadau habari zenu!
Mimi ni miongoni mwa watu wenye mipango ya kuishi maeneo ya mkuranga siku za usoni!
Nasikitishwa sana na matukio hayo yanayotokea maeneo ya pembezoni.
Kwa kifupi nimedhamilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.