Kwanini TANESCO na ITV hawakuhariri hotuba na tangazo la Rais Magufuli " kata umeme"?

stigajemwa

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
449
430
Ndugu wadau, hoja yangu hapa ni matamshi ya Jpm ktk tangazo la kukata umeme ambapo ktk kusisitiza raisi alisema kuwa neno kata limeundwa na maneno mawili yaani 'ka' na 'ta'.
Kiisimu 'kata' ni neno moja, na mimi kama mwalimu wa lugha ndivyo ninavyowafundisha wanafunzi wangu.Sasa kwakuwa raisi kasema neno hilo limeundwa na maneno mawili na taasisi kama tanesco wakatumia msimamo huo wa raisi kama ulivyo ktk kushawishi taasisi za umma kulipa madeni ya bili za umeme.Na kwakuwa chombo cha habari kama ITV nao wakarusha tangazo na maelezo ya raisi kama yalivyo bila kuhariri.Maana yake ni kwamba tumeuaminisha umma kuwa'kata' inaundwa na maneno mawili wakati 'kata' inaundwa na neno moja yaani kata.

Tukiacha hivi hivi bila kufanyia uhariri maelezo haya itatuwia vigumu sana kuwafundisha watoto wadadisi kwani watasema raisi na chombo cha habari waliainisha kuwa ni maneno mawili

Hivyo nawashauri Tanesco na ITV wayahariri haraka iwezekanavyo maelezo ya raisi juu ya uainishaji wa neno 'kata' katika tangazo lake la kusisitiza kukatia umeme taasisi yoyote ambayo inadaiwa bili ya umeme
 
Vipi na wewe wame"KATA" nini??
 
Isimu irekebishwe haraka ili hayo yawe maneno tofauti
 
Mm sitaki hata kuliangalia tangazo hilo
 
Back
Top Bottom