Jana nimepaki gari in few minutes naingia one of the shopping malll ndani ya Rock City Mwanza shopping Mall nakuta wameniibia side light, na isingekuwa kuwahi alikuwa kasaanza kungoa Side Mirrors... nawaambia walinzi wakanijibu kijeuri, nikajiondokea ado ado nisije zusha ugomvi bure
NB:Nawapa angalizo Rocky City shopping mall kuweni makini mtapunguza wateja sana... kama mimi sitakuja tena hapo, natumaini mnajua maana ya customers.
Na kwa wote kuweni makini mnapopaki gari au pikipiki Rocky City shopping mall kuna wezi