Watumishi wastafishwe

wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
2,057
1,710
Ndugu mheshimiwa kama bandiko linavojieleza ni kuwa watumishi hawana wa kuwasemea wanafanya kazi masaa mengi wakati shughuli nyingine za maendeleo zinalala
Lengo la bandiko hili ni kuleta hoja ambayo ni ya msingi sana hasa utawala wako huu watakaopenda kustaafu na walipwe chao ili uajiri vijana ambao watakubaliana na wewe kuwalipa ujira huo na stahiki nyingine .
Watumishi wengi wamegundua mali utaipata shambani wengi wao ukisema atakayetaka kustaafu /redundance wengi watakuwa tayari .
Itasababisha vijana wenye uzalendo na kazi si pesa kama tunavoaminishwa kuwepo kwenye mfumo na si wengine ambao wanatupa sumu huku mtaani
Kuwepo na wafanyakazi ambao wao hawatajiona wanyonge mfano mkuu wa shule analipwa posho wakati mwalimu wa kawaida anaisoma namba ya chato
Yapo mengi sana ila watumishi wengi hawafanyi kazi kabisa ukiwauliza wako kimya wastafu/redundant ili waingie kizazi kipya kumbuka kuwalipa mafao yao baada ya redundance ..
BY
The unspoken wrath of GOD
FROM LAND OF NO NAME
 
Back
Top Bottom