Sisi sio Waarabu

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,191
Kim bwana ananipa raha sana et

"Risasi ya kwanza itakayoingia toka Marekani ikitokea baharini au angani kuingia ardhi ya Korea Kaskazini, basi tutaijibu risasi hiyo kwa kuifunika Marekani kwa kila aina ya makombora kwenye sehemu muhimu kabisa. Marekani itambue kwamba, sisi sio Waarabu".

Kwan waarabu wakoje?
 
Zamani Korea ilikuwa moja na Leo zipo mbili ni USA waliigawa. Nadhani bado waarabu ni hardcore kuliko wakolea. Hizo ni Propadanda tuu. Hata wewe ukitishiwa
 
Back
Top Bottom