Ulizeni swali kuhusu kuchoma mwili Wa marehemu na kuhifadhi majivu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,524
21,998
Habari zenu ndugu zangu!
"Changamoto zinapozidi fursa zinaongezeka"
Nianze Kwa tafakari " je, unatambua ipo siku utakufa?, je, unatambua utachimbiwa shimo na ufukiwe Kwa mchanga? Unatambua ni kiasi gani cha mchanga kitajazwa juu ya kaburi lako? "
Haya ni baadhi tu ya maswali tunayopaswa kujiuliza watu tunaoishi hivi Leo!
Pamoja na majibu yeyote unayopata, tambua kwamba ardhi inaendelea kuwa na umhimu zaidi ya kukuzika wewe Kwa faida ya vizazi vijavyo!
Sasa basi kitendo cha kufukiwa kwenye udongo na kuoza kina tweza zaidi kuriko kuchomwa na kubaki majivu .
Utamaduni huu Mpya ninaoufikilia kuishilikiisha Jamii endapo nitapatiwa kibari cha biashara utasaidia mambo mengi na yenye faida.
TUKIO LA KUCHOMA
Ni utaratibu Wa kuunguza mwili Wa marehemu na kuhifadhi majivu.
Utaratibu huu nitaufanya Kwa mitambo maalum ambayo nitaiandaa punde baada ya kupewa kibari!
Natarajia kuwa na majiko ( furnace) zenye kiwango cha juu ambapo zitakuwa na uwezo Wa kuchoma na kuhifadhi ikifuatia kufuata taratibu zingine za mazishi.
KABLA YA KUCHOMA MWILI MAMBO GANI YATAZINGATIWA?
Ili kampuni ipokee mwili ni taratibu zifuatazo zitatumika.
1. Barua ya kuombwa mwili uchomwe iliyo andikwa na wanafamilia au wosia Wa marehemu unaoonyesha mwili wake uchomwe pindi atakapokufa ( Barua hizo zipitie Kwa mwanasheria/ au mhuri Wa mahakama)
2. Taarifa za msiba huo zipitie ngazi zote na barua za utambuzi Wa mtaa.
3. Taarifa ya vinasaba DNA Kutoka Kwa daktari
4. Nakala ya cheti cha kifo.
5. Picha ya marehemu kama ipo. N.k
JE; NI FAIDA GANI ZITAPATIKANA KWA KUCHOMA MWILI?
1. Gharama za kusafirisha msiba zitapungua Kwa zaidi ya asilimia 85%
2. Matumizi bora ya ardhi yatazingatiwa.
3. Taarifa sahihi za maiti zitazingatiwa kabla msiba.
4. Maumivu ya kisaikolojia Kwa kujaziwa mchanga hayatakuwapo.
5. Vifaa vya mazishi vitapungua n.k
6. UZURI WA HII NI KWAMBA MTU ATAWEZA HATA KUHIFADHI HATA NDANI YA NYUMBA YAKE KWA KUTUMIA ENEO DOGO/ CHUMBA/ AU PAHALA ATAKAPOTENGA KUFANYIA HATA MAOMBI YA UKOO AKIWA MJINI AU VIJIJINI.

CHANGAMOTO
Kutokana na mila na tamaduni zetu, changamoto za mapokeo hazitakosekana ingawa baada ya mda itazoeleka, nimepanga kuanza biashara hii Kwa mtaji Wa million 500 ingawa lengo halisi ni 800 hadi billion moja tu ambayo natarajia kukopa bank ikiwa ni gharama ya kununua mitambo, magari, na ofisi zingine pamoja na ulinzi. Ni biashara ambayo natarajia itagharimu kiasi tsh 200000/= hadi milioni 5 ( inategemea na huduma atakayochagua Mteja -Class of service).
Pamoja na mengine; naruhusu maswali na ushauri wenu wadau kufuatia hili wazo langu ambalo kampuni litaendelezwa kizazi hadi kizazi hata kama tukisha toka duniani!
Nini maoni yenu?

UPDATES
Nashukuru sana Kwa wadau wanaoni- inbox PM- sitakuwa na majibu hadi hapo nitakapomaliza usajili! Napongeza sana kuna mtu mmoja kaahidi kunichangia million 50 ili tushirikiane kwenye project hii! Asanteni sana Kwa mnaounga mkono zoezi hili! Naendelea kupokea ushauri na maswali yenu wadau!
KARIBUNI
 
Hiyo kampuni utasajili kwenye mamlaka gani? Wataalamu utapata wapi?
Nitasajili katika taasisi zote ikiwemo (wizara ya mambo ya ndani) RITA, ( Wizara ya afya na mazingira)- NEMC n.k pamoja na TRA, Brela etc.
Kuhusu wataalam nitapata kutoka vyuo vya afya ndani na nje ya nchi pamoja vyuo vya ufundi mitambo n.k
 
Nitasajili katika taasisi zote ikiwemo (wizara ya mambo ya ndani) RITA, ( Wizara ya afya na mazingira)- NEMC n.k pamoja na TRA, Brela etc.
Kuhusu wataalam nitapata kutoka vyuo vya afya ndani na nje ya nchi pamoja vyuo vya ufundi mitambo n.k
 
Habari zenu ndugu zangu!
"Changamoto zinapozidi fursa zinaongezeka"
Nianze Kwa tafakari " je, unatambua ipo siku utakufa?, je, unatambua utachimbiwa shimo na ufukiwe Kwa mchanga? Unatambua ni kiasi gani cha mchanga kitajazwa juu ya kaburi lako? "
Haya ni baadhi tu ya maswali tunayopaswa kujiuliza watu tunaoishi hivi Leo!
Pamoja na majibu yeyote unayopata, tambua kwamba ardhi inaendelea kuwa na umhimu zaidi ya kukuzika wewe Kwa faida ya vizazi vijavyo!
Sasa basi kitendo cha kufukiwa kwenye udongo na kuoza kina tweza zaidi kuriko kuchomwa na kubaki majivu .
Utamaduni huu Mpya ninaoufikilia kuishilikiisha Jamii endapo nitapatiwa kibari cha biashara utasaidia mambo mengi na yenye faida.
TUKIO LA KUCHOMA
Ni utaratibu Wa kuunguza mwili Wa marehemu na kuhifadhi majivu.
Utaratibu huu nitaufanya Kwa mitambo maalum ambayo nitaiandaa punde baada ya kupewa kibari!
Natarajia kuwa na majiko ( furnace) zenye kiwango cha juu ambapo zitakuwa na uwezo Wa kuchoma na kuhifadhi ikifuatia kufuata taratibu zingine za mazishi.
KABLA YA KUCHOMA MWILI MAMBO GANI YATAZINGATIWA?
Ili kampuni ipokee mwili ni taratibu zifuatazo zitatumika.
1. Barua ya kuombwa mwili uchomwe iliyo andikwa na wanafamilia au wosia Wa marehemu unaoonyesha mwili wake uchomwe pindi atakapokufa ( Barua hizo zipitie Kwa mwanasheria/ au mhuri Wa mahakama)
2. Taarifa za msiba huo zipitie ngazi zote na barua za utambuzi Wa mtaa.
3. Taarifa ya vinasaba DNA Kutoka Kwa daktari
4. Nakala ya cheti cha kifo.
5. Picha ya marehemu kama ipo. N.k
JE; NI FAIDA GANI ZITAPATIKANA KWA KUCHOMA MWILI?
1. Gharama za kusafirisha msiba zitapungua Kwa zaidi ya asilimia 85%
2. Matumizi bora ya ardhi yatazingatiwa.
3. Taarifa sahihi za maiti zitazingatiwa kabla msiba.
4. Maumivu ya kisaikolojia Kwa kujaziwa mchanga hayatakuwapo.
5. Vifaa vya mazishi vitapungua n.k
CHANGAMOTO
Kutokana na mila na tamaduni zetu, changamoto za mapokeo hazitakosekana ingawa baada ya mda itazoeleka, nimepanga kuanza biashara hii Kwa mtaji Wa million 500 ingawa lengo halisi ni 800 hadi billion moja tu ambayo natarajia kukopa bank ikiwa ni gharama ya kununua mitambo, magari, na ofisi zingine pamoja na ulinzi. Ni biashara ambayo natarajia itagharimu kiasi tsh 200000/= hadi milioni 5 ( inategemea na huduma atakayochagua Mteja -Class of service).
Pamoja na mengine; naruhusu maswali na ushauri wenu wadau kufuatia hili wazo langu ambalo kampuni litaendelezwa kizazi hadi kizazi hata kama tukisha toka duniani!
Nini maoni yenu?

Mwili wa Binadamu unaungua na kubakia majivu kwa Nyuzi joto ngapi? Na Je, hicho kiwango cha nyuzi joto kinayeyusha mpaka mifupa au ni nyama tu?
 
Mkuu kwa waislam hutapata marehemu hata nmoja...wakati wewe unashauri watu wabadget ardhi,mwenye ardhi anasema mtu akifa azikwe chini ya ardhi,binafsi siwezi kukubali kufanyiwa ujinga huu wa kuchomwa moto japo nimekufa.
Ni suala la kupewa elimu tu
 
Habari zenu ndugu zangu!
"Changamoto zinapozidi fursa zinaongezeka"
Nianze Kwa tafakari " je, unatambua ipo siku utakufa?, je, unatambua utachimbiwa shimo na ufukiwe Kwa mchanga? Unatambua ni kiasi gani cha mchanga kitajazwa juu ya kaburi lako? "
Haya ni baadhi tu ya maswali tunayopaswa kujiuliza watu tunaoishi hivi Leo!
Pamoja na majibu yeyote unayopata, tambua kwamba ardhi inaendelea kuwa na umhimu zaidi ya kukuzika wewe Kwa faida ya vizazi vijavyo!
Sasa basi kitendo cha kufukiwa kwenye udongo na kuoza kina tweza zaidi kuriko kuchomwa na kubaki majivu .
Utamaduni huu Mpya ninaoufikilia kuishilikiisha Jamii endapo nitapatiwa kibari cha biashara utasaidia mambo mengi na yenye faida.
TUKIO LA KUCHOMA
Ni utaratibu Wa kuunguza mwili Wa marehemu na kuhifadhi majivu.
Utaratibu huu nitaufanya Kwa mitambo maalum ambayo nitaiandaa punde baada ya kupewa kibari!
Natarajia kuwa na majiko ( furnace) zenye kiwango cha juu ambapo zitakuwa na uwezo Wa kuchoma na kuhifadhi ikifuatia kufuata taratibu zingine za mazishi.
KABLA YA KUCHOMA MWILI MAMBO GANI YATAZINGATIWA?
Ili kampuni ipokee mwili ni taratibu zifuatazo zitatumika.
1. Barua ya kuombwa mwili uchomwe iliyo andikwa na wanafamilia au wosia Wa marehemu unaoonyesha mwili wake uchomwe pindi atakapokufa ( Barua hizo zipitie Kwa mwanasheria/ au mhuri Wa mahakama)
2. Taarifa za msiba huo zipitie ngazi zote na barua za utambuzi Wa mtaa.
3. Taarifa ya vinasaba DNA Kutoka Kwa daktari
4. Nakala ya cheti cha kifo.
5. Picha ya marehemu kama ipo. N.k
JE; NI FAIDA GANI ZITAPATIKANA KWA KUCHOMA MWILI?
1. Gharama za kusafirisha msiba zitapungua Kwa zaidi ya asilimia 85%
2. Matumizi bora ya ardhi yatazingatiwa.
3. Taarifa sahihi za maiti zitazingatiwa kabla msiba.
4. Maumivu ya kisaikolojia Kwa kujaziwa mchanga hayatakuwapo.
5. Vifaa vya mazishi vitapungua n.k
CHANGAMOTO
Kutokana na mila na tamaduni zetu, changamoto za mapokeo hazitakosekana ingawa baada ya mda itazoeleka, nimepanga kuanza biashara hii Kwa mtaji Wa million 500 ingawa lengo halisi ni 800 hadi billion moja tu ambayo natarajia kukopa bank ikiwa ni gharama ya kununua mitambo, magari, na ofisi zingine pamoja na ulinzi. Ni biashara ambayo natarajia itagharimu kiasi tsh 200000/= hadi milioni 5 ( inategemea na huduma atakayochagua Mteja -Class of service).
Pamoja na mengine; naruhusu maswali na ushauri wenu wadau kufuatia hili wazo langu ambalo kampuni litaendelezwa kizazi hadi kizazi hata kama tukisha toka duniani!
Nini maoni yenu?
Wazo zuri sana mkuu. Mwanzoni utapata changamoto nyingi lakini zitakwenda zikipungua miaka inavyozidi kwenda. Kwa watanzania wengi kwa sasa ni utamaduni mpya.
 
Mwili wa Binadamu unaungua na kubakia majivu kwa Nyuzi joto ngapi? Na Je, hicho kiwango cha nyuzi joto kinayeyusha mpaka mifupa au ni nyama tu?
Mambo mengine ni ya kiufundi zaidi lakini Kwa kifupi a body burns In a crematorium where a body is supposed to be fully reduced to ash, the temperatures are considerably higher, varying from 1100 to 1500 degrees centigrade pamoja na hilo chini ya joto hilo hapo mwili waweza unguzwa lakini si Kwa kiwango cha kitaalam pia Kwa kuzingatia muda; by the way an average human body takes from two to three hours to burn completely and will produce an average (1.4 to 4.1 kilograms) of ash. The amount of ash depends usually on the bone structure of the person and not so much their weight
 
Wazo zuri sana mkuu. Mwanzoni utapata changamoto nyingi lakini zitakwenda zikipungua miaka inavyozidi kwenda. Kwa watanzania wengi kwa sasa ni utamaduni mpya.
asante mkuu nitakukumbuka endapo nikifanikiwa ili tuwe pamoja, ujasiri ni moja ya CV nitakayozingatia
 
Mambo mengine ni ya kiufundi zaidi lakini Kwa kifupi a body burns In a crematorium where a body is supposed to be fully reduced to ash, the temperatures are considerably higher, varying from 1100 to 1500 degrees centigrade pamoja na hilo chini ya joto hilo hapo mwili waweza unguzwa lakini si Kwa kiwango cha kitaalam pia Kwa kuzingatia muda; by the way an average human body takes from two to three hours to burn completely and will produce an average (1.4 to 4.1 kilograms) of ash. The amount of ash depends usually on the bone structure of the person and not so much their weight

Vipi kuhusu Mifupa na Meno? Kwa maana nijuavyo mimi Meno hayawezi kuyeyuka kwa hiyo Nyuzi joto!
 
Kasome tena utaelewa tu! Centigrade 1100c- 1500c ni joto kubwa sana na limethibitishwa kitaalam! Cjui wewe unazungumzia joto gan?
 
Ninaafiki hili jambo, maana huko mbeleni baada ya maeneo mengi kujaa wafu, tutakuja pokonyana ardhi na wafu, watu watajenga juu ya makaburi.
 
mkuu hivi kuna generator lakuzalisha umeme utakaoweza tengeneza hilo joto sababu umeme wetu ni issue
 
Back
Top Bottom