Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Habari ya weekend jamani.
Nadhani mada yangu ilishaeleweka kupitia swali hilo.
Tumekuwa tukiskia mara nyingi viongozi wakubwa,baadhi ya watu wakijitetea kuwa hali ngumu ya maisha ipokwa wale tu waliokuwa wamezoea vya kunyonga(kujipatia mali kwa njia isiyohalali).
Binafsi ni raia mwema na najitahidi sana kutafta mali kwa njia halali na muda wote namuomba Mungu anisaidie.
Kauli hii imekuwa ikiniumiza sana,kwa sababu nahisi viongozi wanayoitamka hawajui inamwendea nani na ataipokeaje.Inawezekana wapo watu wa hivyo na ninajua hawawezi kuisha zaidi watabadili njia tu za kunyonga lakini sisi wanyonge tutaendelea kudidimia.
serkali hii inayojipambanua kufanya haya.
*imedhibiti watumishi na wanafunzi hewa.
*inakusanya kodi kuliko awamu zote
*watumishi wanafanya kazi tu.
*imekomesha ufisadi na rushwa kubwa zote.
*imeokoa hela ili tusione bunge mubashara.nk
(Izingatiwe kuwa serkali ya awamu ya nne haikufanya vizuri sana maeneo hayo )
Sasa basi,pamoja na hayo yote kufanyika,serkali ya awamu ya tano inayobana matumizi,inakusanya kodi na kudhiti watumishi hewa.
1.Imeshindwa kuajili watumishi miaka miwili sasa tofauti na ilivvyokuwa siku za nyuma.
2.Imeshindwa kuongeza mishahara kwa watumishi
3.Imeshindwa kupeleka vyuo kwa kuwapa mikopo kama serkali iliyokuwa na matatizo tajwa pale juu ilivyokuwa ikifanya
4.imeshindwa kupandisha madaraja watumishi wakati ile corrupt ilithubutu
5.VYAKULA NA BIDHAA ZINAPANDA BEI KILA UCHWAO WAKATI MISHAHARA KWA WATUMISHI IKO PALEPALE*
kwa mfano kilo moja ya unga kwa DAR imepanda mara mbili tangu mhe.aingie madarakani yaan toka 1200-2400