baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Kwa hapa TZ ni mwandishi gani unaweza kumfananisha na mwandishi wa Kenya Mohamed Ali.. wa jicho pevu.... Katika utoaji wa habari kwa wananchi...bila woga au kupendelea upande wowote.
Hakuna. Yule Jerry Muro alijaribu kidogo, ila akanogewa na yeye akaanza kuact kama askari kutembea na pingu nk. Na kama kuna atakayejaribu lazima atekwe ama kupotezwaKwa hapa TZ ni mwandishi gani unaweza kumfananisha na mwandishi wa Kenya Mohamed Ali.. wa jicho pevu.... Katika utoaji wa habari kwa wananchi...bila woga au kupendelea upande wowote.
Marehemu Stan Katabalo......Kwa hapa TZ ni mwandishi gani unaweza kumfananisha na mwandishi wa Kenya Mohamed Ali.. wa jicho pevu.... Katika utoaji wa habari kwa wananchi...bila woga au kupendelea upande wowote.