Jamani nimefuatilia mafao yangu PPF hivi sasa ni miezi 8 lakini kila ukifika ofisini kwao wanapiga tarehe wanakwambia njoo mwez ujao bado serekal inashughulikia hizo pesa. Ukiuliza kwanini zimezuiliwa hawana majibu.
Hawa TUCTA nao ni jipu hawataki kutoa tamko kuhusu pesa zetu huko PPF.
Hawa TUCTA nao ni jipu hawataki kutoa tamko kuhusu pesa zetu huko PPF.