Nini hatma ya hizi ndoa

mwenda wazimu

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
819
1,278
Poleni na majukumu wana jf
Tangu serikari izuie swala la huamisho wa watumishi kumekuwa na wakati mgumu sana kwa watumishi walio funga ndoa,ndoa nyingi zimepoteza muelekeo,si zani kama serikali inawatendea haki watumishi hawa,Tafuteni namna ya kuwasaidia
Sote tunajua ndoa ndo chimbuko la taifa la kesho,wote tunajua athari za kulea watoto na upande mmoja wa mzazi
TAFUTENI NAMNA JAMANI, NYIE MKO NA FAMILIA ZENU AMTAKI KUJUA YA WENGINE?!!!!
 
Pole sana aliyezuia yuko ikulu na mkewe,mpigie simu umueleze kilio chako.
 
BUNGENI NDO WANAVYO JIBU ILA UKI ENDA TAMISEMI NI ADITHI ZA TUNASUBIRI MAEKLEKEZO
kama unakumbuka wanamajina ya walimu walio omba kuhama na wakasema awatapokea maombi mpya mpaka yale walio zuia yafanyiwe kazi sasa si watangaze ayo majina watu wa hame

Labda wapo kwenye mchakato
 
Poleni na majukumu wana jf
Tangu serikari izuie swala la huamisho wa watumishi kumekuwa na wakati mgumu sana kwa watumishi walio funga ndoa,ndoa nyingi zimepoteza muelekeo,si zani kama serikali inawatendea haki watumishi hawa,Tafuteni namna ya kuwasaidia
Sote tunajua ndoa ndo chimbuko la taifa la kesho,wote tunajua athari za kulea watoto na upande mmoja wa mzazi
TAFUTENI NAMNA JAMANI, NYIE MKO NA FAMILIA ZENU AMTAKI KUJUA YA WENGINE?!!!!
Kwa heshima tu naomba nitofautiane nawewe. Upendo wa ndoa na kugandana kama kumbikumbi ni athari za utandawazi tu,na maisha ya kufikirika. Kuishi mbali kunawajenga ktk uvumilivu,ubunifu na kuwa na upendo usiochacha,.inapunguza migongano pia.
Ndoa za kijapani nyingi ziko hivyo na ziko imara tu,swala ni uwajibikaji na kujiheshimu/jitambua tu.
 
Back
Top Bottom