Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,925
- 31,850
Hello JF,
leo ningependa kutoa wazo kwa mtu yeyote afungue NGO ya kuelimisha jamii kutumia kompyuta.
ingependeza kuwe na computer centres kwa ajili ya wanafunzi hasa wa kidato cha sita na vyuoni,ambapo inawaandaa wanafunzi kukabiliana na kasi ya karne ya 21,ya teknolojiaa hasa katika soko la ajira.
pamoja na kubadilisha syllabus,na kuongeza masomo ya kompyuta,the end result ni better equiped graduates.
kama tayari hizo centres zipo tayari,then potezeeni hii thread,lol