Je, ni kweli bongo movie imekufa kwaajili ya films toka nje ya nchi ?

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Moja ya matukio yaliyoshika headline hapa bongo ni pamoja na bongo movie kudorora baada ya marehemu Kanumba kuaga dunia twende pamoja.

1. Actors/actresses wamejikita zaidi kwenye ngono wakati matatizo yapo mengi nje na ndani ya nchi hadi wateja wa movie zahesabika e.g. mafuriko, vyeti feki utekaji, rushwa n.k

2. Wasanii kuingilia mambo ya siasa
Kama uko up-to-date with information 2015 kundi lote la wasanii liliingia kwenye siasa badala ya kuimarisha kazi zao wao walioko zaidi na kuiimarisha ccm na hivyo matokeo yake kushindwa kumudu shughuli zao


3. Kuamini nguvu za giza zaidi kuliko ubunifu waliowengi wanategemea waganga ndio maana mmoja akihit mwenzake anakwenda kwa mganga kumloga ili nyota ya aliyehiti ihamie kwake hivyo ikishindikana ataona kama hauzi tofauti na zamani
 
Tatizo kubwa bongomovie hazina viwango ila tatizo kubwa zaidi lipo vichwani mwao. Badala ya kuangalia kwa nini product zao haziuzwi wao wanadhan watu wataziangalia hata kwa mtutu wa bunduki kitu ambacho sio kweli.
 
Back
Top Bottom