wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Tangu napata akili nimekuwa nasiki kuhusu huyu ndege (mbayuwayu) kuwa eti ukofanikiwa kumuua yaani tumboni hamna kitu chochote zaidi ya kukuta wadudu tuu kama kaoza fulani
Nimejitahidi sana kipindi nawinda ila nikashindwa maana sijawahi kumwona katua wala akila zaidi humwona hewani na sijawahi kumwona analala wapi,, je?kuna ukweli wowote kuwa anawadudu tupu mwilini?