Wadhamini wanaofadhili ujenzi wa kanisa na ununuzi wa vyombo vya mziki.

arejf

Member
Nov 25, 2016
59
46
Wapenda rejea kichwa cha habar hapo juu.
Yeyote anawajua wafadhili waliowema wanaomjua Mungu wenyenia ya dhati kabisa ya kuujenga ufalme wa Mungu hapa duniani.Tafadhali naomba links zao ikiwa emails na postal address na ikiwezekana na simu ya mkononi.
Mungu akubariki kwa ushirikiano wako.
 
Back
Top Bottom