Maneno ya Nape kuhusu uvamizi wa CUF Jana

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,191
Screenshot_2017-04-23-10-55-10.png


Sasa hao Manungayembe ndo akina nani?
 
Kweli Nape kasema ukweli, siasa pingana kwa hoja na si nguvu. Nitam miss sana jamaa huyu wakati akituchalenji akiwa katibu wa itikadi. Alifanya siasa za upinzani zinoge na taifa lisonge mbele kisiasa tofauti na sasa hivi kila kitu kinakaribia kusimama: siasa, uchumi na demokrasia.
 
FUJO PiCHA imenikumbusha Walioba alivyofanyiwa fujo. Yakiachwa huwa yanaongezeka. Ati mkuu wa kipindi hicho akadiliki kukebehi kwa usemi "yasije yakanikuta ya warioba"
badala ya kukemea badala yake kijana akapata ukuu wa wilaya. NAPE UNGEANZA KUPAZA SAUTI KIPINDI KILE SIO LEO. SIKUELEEWIII
 
FUJO PiCHA imenikumbusha Walioba alivyofanyiwa fujo. Yakiachwa huwa yanaongezeka. Ati mkuu wa kipindi hicho akaliki kukebehi kwa usemi "yasije yalanikuta ya warioba"
badala ya kukemea badala yake kijana akapata ukuu wa wilaya. NAPE UNGEANZA KUPAZA SAUTI KIPINDI KILE SIO LEO. SIKUELEEWIII
Comment yako inastahili kuwekewa stick aya matatizo yanayotupata sasa hvi msingi wake umetoka nyuma
 
Yanayoyokea sasa yalipandwa na kina nape huko nyuma.......siasa chafu kabisa za ccm na hasa zikiongozwa na rais wa sasa ndio chanzo cha haya yote.....
 
Nape ameendelea kuongea kupitia twitter na leo hii ametoa neno kuhusu vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CUF.
Msome hapa chini...

Siasa ni ushindani wa HOJA sio NGUVU! Tunaenda wapi huku jamani?! Wanavamia na kutoroka??!! How?!! Siasa imevamiwa na manungayembe sasa” – Nape


unnamed-file-1.png
 
Back
Top Bottom