Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 639
- 1,532
Kwa uchunguzi Wa kina nilioufanya; pamoja na kwamba kila mtanzania ana haki ya kuteuliwa/ kuchaguliwa kuwa kiongozi Wa umma endapo katimiza masharti! Nimegundua kwamba watu ambao historia inaonyesha ndoa zao kuwa na migogoro hawastahili kupewa nafasi ya kuongoza nchi!
Nashauri kama katiba inataja kiongozi anaeteuliwa/kuchaguliwa asiwe na tuhuma za kifungo mahamani, ningependa na kipengele cha mtu huyo kutokuwa na migogoro ya ndoa yake kiwe kinazingatiwa ili kupata viongozi bora! Huwezi kuwa msaada Kwa watu wengine kama familia yako imekushinda- "You should take care of yourfamily and other people wholive close to you before helpingpeople who are living furtheraway or in another country"
" Charity begins at Home"