ujenzi wa reli unaendeleaje?

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Aug 22, 2014
516
903
ule ujenzi wa reli ya umeme unaendeleaje wakuu? ikiwezekana tupieni na vipicha ili tuone jinsi ujenzi unavyoendelea, wengine tupo mbali halafu tuna shauku ya kuona ujenzi ukiendelea, baada ya mkuu kuzindua ujenzi naona watu mmekaa kimya ama bado haujaanza rasmi?
 
Back
Top Bottom