Ndio nn?Kutoka Ifakara
matokeo ya uchaguzi mdogo wa kitongoji cha kisawila, mgombea wa ccm ndugu shaban sahangale ameshinda Kwa kura 557 dhidi ya 528 za mgombea wa chadema.....
Kidumu chama cha mapinduzi
Kaulize huko!Vipi Mtwara CCM ilishinda Viti vingapi?