Mchungaji Josephat Gwajima afafanua anavyotumika kuteka watanzania!!

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ingawa watanzania wana hofu ya kutekwa lakini yeye hawezi kutekwa bali anateka watu.

Alifafanua kauli yake hiyo akisema anateka fikra, mawazo, elimu za watu ili wamgeukie Mungu.

Ameyasema hayo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake
 
Na kweli!

Maana alivyoziteka akili za nyumbu si jambo dogo hata kidogo!!

Mtu anaonyesha kijikaratasi kilichochanika halafu anadai sijui ndo matokeo ya Paul Makonda halafu nyumbu wanameza huo utumbo bila hata kuhoji chochote kile.

Hakika huyo Gwajima ni mtekaji hodari wa akili za manyumbu.
Nyani Ngabu:huyu jamaa alishukuru sana kutwa ktk sakata la madawa kwa sababu kwake ilikuwa ni mtaji mkubwa na sasa ameanza kukiri mwenyewe.
 
Na kweli!

Maana alivyoziteka akili za nyumbu si jambo dogo hata kidogo!!

Mtu anaonyesha kijikaratasi kilichochanika halafu anadai sijui ndo matokeo ya Paul Makonda halafu nyumbu wanameza huo utumbo bila hata kuhoji chochote kile.

Hakika huyo Gwajima ni mtekaji hodari wa akili za manyumbu.

Ya paul makonda mbona alishaachana nayo siku nyingi, yeye kasema anateka watu wamgeukie mungu, wewe unakurupukia kwa makonda, makonda ameingiaje hapo? Hicho kikaratasi kama ulikua hukuamini au hukubaliani nacho ulikua na ruhusa ya kwenda mhakamani, umechelewa muda ushapita makonda sio habari tena kwa Gwajima.

Jambo la pili, wanaosali kwa Gwajima ni watu wazima na akili zao timamu, hawakulazimishwa wameenda kwa hiyari yao wenyewe kwa matakwa yao, kuwatukana kua ni manyumbu ni kuingilia uhuru wao wa kuabudu.

Kama unaona Gwajima na waumini wake hao unaowaita manyumbu wanafaidi, anzisha kanisa lako usalishe kenge wenzako, acha Gwajima asalishe nyumbu wenzake.
 
Na kweli!

Maana alivyoziteka akili za nyumbu si jambo dogo hata kidogo!!

Mtu anaonyesha kijikaratasi kilichochanika halafu anadai sijui ndo matokeo ya Paul Makonda halafu nyumbu wanameza huo utumbo bila hata kuhoji chochote kile.

Hakika huyo Gwajima ni mtekaji hodari wa akili za manyumbu.
Sisi "nyumbu" tuhoji nini tena wakati matokeo ya mtu yoyote hayafichiki kama madawa ya kulevya! Kumbe matokeo ya Bashite hayawezi kunakilika kwenye karatasi?
 
Nyani ngabu kikwetu inamaanisha nyani mzee. Na kweli umezeeka ubongoni kwani huwezi kufikiri na kujenga hoja fikirishi wala kuzichambua zilizoletwa na wengine! Msome tena mleta uzi ndio uje na ufuasi wako wa kiccm hapa.
Isitoshe, usipende kuongozwa na tumbo lako kujenga hoja. Tumia kichwa!
Kweli kabisa.

Hata mi mwenyewe nilikuwa sijawahi kabisa kumfuatilia kwa kiasi chochote kile kabla ya hapo.

Alipoanza drama zake ndo kidogo nikajua kuhusu uwepo wake.
 
Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ingawa watanzania wana hofu ya kutekwa lakini yeye hawezi kutekwa bali anateka watu.

Alifafanua kauli yake hiyo akisema anateka fikra, mawazo, elimu za watu ili wamgeukie Mungu.

Ameyasema hayo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake
Amuulize late Askofu Janan Luwum of Uganda!
 
Na kweli!

Maana alivyoziteka akili za nyumbu si jambo dogo hata kidogo!!

Mtu anaonyesha kijikaratasi kilichochanika halafu anadai sijui ndo matokeo ya Paul Makonda halafu nyumbu wanameza huo utumbo bila hata kuhoji chochote kile.

Hakika huyo Gwajima ni mtekaji hodari wa akili za manyumbu.

Sikufahamu kwamba wewe ni mpagani na sasa nimeelewa.

Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. Neno la Msalaba kwao wapoteao ni upuuzi lakini kwa wanaookolewa ni nguvu ya Mungu.

Kweli hekima ya mwanadamu ni upumavue.
 
Na kweli!

Maana alivyoziteka akili za nyumbu si jambo dogo hata kidogo!!

Mtu anaonyesha kijikaratasi kilichochanika halafu anadai sijui ndo matokeo ya Paul Makonda halafu nyumbu wanameza huo utumbo bila hata kuhoji chochote kile.

Hakika huyo Gwajima ni mtekaji hodari wa akili za manyumbu.
Nasikia Bashite hana malinda
 
Nyani ngabu kikwetu inamaanisha nyani mzee. Na kweli umezeeka ubongoni kwani huwezi kufikiri na kujenga hoja fikirishi wala kuzichambua zilizoletwa na wengine! Msome tena mleta uzi ndio uje na ufuasi wako wa kiccm hapa.
Isitoshe, usipende kuongozwa na tumbo lako kujenga hoja. Tumia kichwa!

Hekima ya mleta uzi ni kubwa sana kiasi mtu yeyote mwenye akili zinazoishia ccm hawezi kuelewa. Nyani ngabu hana uwezo huo kwa sababu inaonekana hata dini hana.
 
Na kweli!

Maana alivyoziteka akili za nyumbu si jambo dogo hata kidogo!!

Mtu anaonyesha kijikaratasi kilichochanika halafu anadai sijui ndo matokeo ya Paul Makonda halafu nyumbu wanameza huo utumbo bila hata kuhoji chochote kile.

Hakika huyo Gwajima ni mtekaji hodari wa akili za manyumbu.
Bashite ameonesha kikaratasi chochote kupinga kile cha Gwajima?
 
Hekima ya mleta uzi ni kubwa sana kiasi mtu yeyote mwenye akili zinazoishia ccm hawezi kuelewa. Nyani ngabu hana uwezo huo kwa sababu inaonekana hata dini hana.
Inawezekana aina ya maisha anayoishi huyu Nyani hayana utulivu/amani..... muda mwingi anatumikia tumbo. ....
 
Na kweli!

Maana alivyoziteka akili za nyumbu si jambo dogo hata kidogo!!

Mtu anaonyesha kijikaratasi kilichochanika halafu anadai sijui ndo matokeo ya Paul Makonda halafu nyumbu wanameza huo utumbo bila hata kuhoji chochote kile.

Hakika huyo Gwajima ni mtekaji hodari wa akili za manyumbu.
Mpuuzi kweli wewe bwege, yaani hapo eti na wewe unajiona mjanja, kumkashifu kumkashifu mtumishi wa Mungu ni sawa na kumkashifu Mungu, ujinga umekujaa kichwani, daftness at your best.
 
Hatar hii ila kila MTU ana mawazo yake usiite MTU nyumbu unaweza ukakuta hata kwenye familia yako wanasali humo
 
Eti akampangia rais amtoe makonda na ampe kazi nyingine kwa zuga ya kumwombea rais na nyumbu wakaamini Makonda kwa gwjima hachomoi!
 
IMG_20161031_234716.jpg
 
Back
Top Bottom