Ni utaratibu wao wa kuuza vitu baada ya muda flun n akuvibadili vipya mkuu sio mara ya kwanza huo inaganywa sanaUS inafunga balozi yake tz ?
inadaiwa?
au wameamua tu kuuza?
Hahahaa maskini nyambala!! Umenichekesha kweli
Trump kawaambia wauze anawaletea mzigo mpya wa kisasa zaidiUS inafunga balozi yake tz ?
inadaiwa?
au wameamua tu kuuza?
Utakuta wana makorokoro ya toka mwaka 70 wazalendo hao. Hela mpya hutaipata.Na sisi magufuri inabidi atoe amri kwa ubarozi wetu wa tanzania kule usa nao wapige mnada vitu vyao vyote kama wenzetu wanavyofanya. Je wazungu watavichangamkia vitu vya mnada vya tanzania kwenye ubaroz wetu huko usa ?
Ndo utaratibu wao kila baada ya muda wanafanya hivyoUS inafunga balozi yake tz ?
inadaiwa?
au wameamua tu kuuza?