kaseva
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 473
- 305
Hii kitu imekaaje ndugu zangu?
Nimewahi ona matajiri kadhaa, weupe sana kwenye mazungumzo.
Mtu mweupeee mdomoni ukimsikiliza,
Ila ana majumbaa, maviwanja
Magari tena malori na magari kutembelea, tena v8 n.k
Na haonyeshi kama ni mshirikina.
Anaonekana mtulivu na muda wote anawaza mambo yake tuu, kwa hiyo ukimuuliza habari za tofauti na biashara yake umempoteza.
Hajui mpira.
Hajui siasa.
Hawaendagi baa ( hawachangamani sana)
Hajui mambo mengi zaidi ya kazi yake
But they are rich
How
Why
Wamepateje?