Chunda
Senior Member
- Apr 7, 2016
- 182
- 251
Ndugu wana jamvi, amani iwe kwenu.
Katika somasoma yangu ya magazeti nilikutana na habari hiyo ya mauzauza ya wasomi wanaodaiwa kuwa na kiwango cha juu cha usomi (PhD na Prof) mkoani Arusha. Prof. Monyo alikuwa Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha. Inaaminika wasomi wengi Tanzania wanaamini na kutenda kwa kutumia nguvu za sangoma.
Je, nguvu hizo za sangoma zina msaada wowote kwa maendeleo ya jamii? Tujadili