Kwanza nianze kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa uhai...
Mheshimiwa raisi wa Tanzania na waziri wa UTUMISHI najua huku mitandaoni mnapitia sana....Leo naleta kilio hiki cha sisi baadhi ya...
Ameandika Mhe Zitto Zuberi Kabwe
Kenya Kuzuia Gesi ya Tanzania: Tanzania ichukue hatua dhidi ya Kenya
Wizara ya Nishati ya Kenya imepiga marufuku gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia nchini...
Habari wanaJF,
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Momba mkoa wa Songwe imemhukumu kijana wa miaka 19 kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka 30.
Kijana huyo amepatikana na hatia ya kumbaka...
Siku ya leo Tanzania inaadhimisha miaka 53 ya Muungano mjini Dodoma mgeni Rasmi akiwa Rais wa awamu ya Tano Mh Rais John Pombe Magufuli.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Muungano wa Nchi huru...
Natumai watanzania wenzangu mu wazima
Moja kwa moja adi kwenye mada ni kweli kuwa watanzania tuko kimya na kujidai ni wapole katika kufanya maamuzi na kuzingatia sana sheria
Ila ukweli ni kwamba...
Uvamiwapo na wezi wakulazimishao kutoa fedha kwenye ATM kwa kutumia kadi yako ya benki ufanye nini?
1.Usikatae wala kubishana nao wasijekukudhuru bure.
2. Ingiza namba yako ya siri kwa kugeuza...
Ni pigo la nafsi na maumivu ya roho pale mtu asiyena silaha (unarmed) anafanyiwa tukio kama hili...
[emoji21][emoji21]
Raia tunahamasishwa kila siku kutokuchukua hatua mkononi ila kwa polisi...
Wale madaktari walioajiriwa siku chache zilizopita tulitangaziwa wataripoti vituo vya kazi kuanzia juzi Jumatatu(24/4/2017). Sasa huku Tabora mbona hakuna aliyekwisharipoti? Hata kwa mikoa ya...
Baada ya serikali kutangaza amza ya kuwalazimisha wanaouza cd za nnje nao walipe kodi kama wanavyofanya watengenezaji wa ndani( siyo kuzizuia zisiuzwe kama wapotoshaji wanavyosema)kuliibuka watu...
Kuna wimbo fulani ulioimbwa na mwanamke!
Ni wa zamani kidogo,wenye maathi ya zouk!
Unasema,"Nguo ya Kuazima Haistili Mwili"
Mara ya Kwanza nilifikiri wameimba wana Njenje!
Naomba msaada!
Habari zenu wakuu ebana Nina mshikaji wangu aliuziwa KIWANJA miaka ya nyuma na maeneo ya mbagala na MZEE mmoja ivi miaka ya 2000.
Lakini baada ya miaka kupita yule mzee alianzisha mgogoro wa...
Kwema wakuu.
Leo nimemkumbuka mwanamziki kijana aliyetokea kuhit sana kwenye tasnia ya sanaa ya muziki, Akasi Kinzasa maarufu kama "20 percent". Alitokea kuvuma sana na wimbo wake wa "Mama Neema".
Husika na kichwa cha Habari hapo juu.. Leo ktk kupindi cha Pb cha Clouds Fm,palikuwepo na wageni.
Mama Aliedai kujifungua mapacha mwishowe kaambulia kupewa moja wakike baada ya vigisuvigisu...
Wakuu,
Wengi wetu ni watazamaji wa habari ITV muda wa saa mbili usiku ni wazi kuondolowa kwa habari za kimataifa Kipindi kimepwaya saaaana hasa kwa kipindi hiki kilicho na mgogoro wa kimataifa...
Ugonjwa wa Wana CCM kuwa wanafiki na kushindwa kukisaidia chama kustawi nauliza utaisha lini?
Mfano wa unafki uliopitiliza ni huu wa Mr polepole kutaka kumwadhibu Nape kwa kuwaambia ukweli, sasa...
"Jukwaa la Wahariri limeshtushwa na tukio la kushambuliwa na kuumizwa kwa Waandishi wa Habari wakitekeleza wajibu wao">>
""Kitendo cha watu au mtu kuwashambulia waandishi wa habari walioalikwa...
Wakuu, baada ya miaka mingi ya research juu ya swali ambalo nilipata kusikia watu wakibishana sana la "kuku na yai kipi cha kutokea?" Hatimae leo nimepata jibu, kumbe alianza kuku kwa kuumbwa kama...
Tarehe kama ya Leo 26/04/1964 tanganyika na Zanzibar ziliungana .kama ilivyo kawaida kila kitu huwa kina faida na hasara,
Ebu tutaje mafanikio na kero ya huu Muungano wetu
Kama si wachache basi wote humu Jf na wananchi wengine wote hasa sisi wanaume tumekutana na tatizo hili
Ukiwa na demu ghafla ukamkosa hewani Siku ukimpata ukamuuliza vipi mbona ulikua hupatikani...