Leo nimepata jibu, kumbe alianza kuku bhana

iddy eba

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
573
1,171
Wakuu, baada ya miaka mingi ya research juu ya swali ambalo nilipata kusikia watu wakibishana sana la "kuku na yai kipi cha kutokea?" Hatimae leo nimepata jibu, kumbe alianza kuku kwa kuumbwa kama alivyoanza binadamu na yai alilitaga kama binadamu anavyozaa

Am i right?
 
Una ushahidi gani kwamba aliumbwa?

Aliumbwaje?
 
Wakuu, baada ya miaka mingi ya research juu ya swali ambalo nilipata kusikia watu wakibishana sana la "kuku na yai kipi cha kutokea?" Hatimae leo nimepata jibu, kumbe alianza kuku kwa kuumbwa kama alivyoanza binadamu na yai alilitaga kama binadamu anavyozaa

Am i right?
Yes you are 100% you are right
 
Wewe una ushahidi gani kuwa hakuumbwa? Ushahidi kuwa aliumbwa upo kwa kuwa kuku yupo.
Mkuu uwepo wa kuku unathibitisha kuumbwa kwake?

Hivyo kila kilichopo kiliumbwa eeh
 
Nani aliyesema yai limeumbwa?

mimi nimekuuliza swali hakuna sehemu nimesema kimeumbwa chochote
Yai limetokeaje?

Hata swali inabidi liwe na msingi wa kueleweka.

Ukiuliza "Rangi ya wimbo wa Remmy Ongalani rangi gani?" swali lako litazaa swali. Utaulizwa imekuwaje wimbo uwe na rangi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom