Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Poleni waasirika wa lile tukio,najua wengine hamjawahi kupatwa na hilo,sasa je kama tulivyozoea lile jukwaa LA wahariri na matamko yenu ,tunangoja kusikia lolote!!
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Sielewi hi carbon anaitumia ya nn... Naomba kuelekezwa
1 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF, Naomba kuuliza.. Yale matofali yanayovunjwa kwa kichwa na wanajeshi kwenye maonyesho yao wakati wa maadhimisho ya dhifa za kitaifa, yanafaa kujengea nyumba? Maana yakiguswa tu, bogojoo.
10 Reactions
178 Replies
22K Views
MFANYABIASHARA anayemiliki duka la vipuri vya magari mjini Tarime, Tumaini Wankyo (28) maarufu Zuma, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Walimu wa shule za Msingi Wilayani Lushoto wameandamana mchana huu wakidai kuwa Posho ya Uhamisho waliyopewa ni ndogo sana, wamepewa laki moja (100,000). Ikumbukwe kwamba Walimu Wilayani Lushoto...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Nadhani mmemuona mtu ambaye ni mlemavu akijishughulisha kwa kuamua kujitafutia riziki .lakini nyie ndugu zetu wa kati kati ya nchi mnapenda kuja huku mjini kuja kuombaomba wakati utakuta mna uwezo...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Mzani ukisoma pungufu ya kilo tatu na ushee. Kwa wale wakaazi wa Dar ambao hupata kitoweo chao kwenye bucha za Mwenge kuanzia leo mtakapoona huu uzi kuweni makini. Wauzaji wa nyama bucha...
6 Reactions
37 Replies
7K Views
Waziri Mkuu ameyasema hayo katika Kongamano la Mmomonyoko wa Maadili na vita dhidi ya Dawa za Kulevya lilioandaliwa na BAKWATA. Maneno ya Waziri Mkuu: "Serikali imepanga kushughulikia mtandao...
7 Reactions
50 Replies
6K Views
Mimi nilikuwa byco....tulikuwa tunafanyia mazoezi nyumba ya uwanja wa ccm kirumba... Siwezi kusahau...zile ligi... Baada ya byco nilijiunga na OAU iliyokuwa ikiongozwa na Mchopa.. Tujikumbushe...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Ninaombeni msaada wana JF kwa yeyote anayefahamu serial number na product key za Autocad 2014
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Habari za jioni, Kuna kipindi kina kichwa cha habari hapo juu cha utv muda wa jioni ningependa kujua hivi kipindi hiki hakiwezi kuonyesha wataalam wa Tz waliopita SUA.
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Hello JF, leo ningependa kuanzishwe masomo ya Olevel and Alevel ONLINE............ kwa sababu kuna watu wazima haiwezekani tena kujichanganya na vitoto.... mitihani ndio ifanywe kwenye...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Rafiki yangu wa Mozambique kanitumia milioni moja nimtafutie simu kali, kasema kama haitoshi ataniongeza pesa, sasa naomba kujuzwa kwa hapa Tz simu kali inauzwa bei gani? Ina sifa zipi za ziada...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Jamani hiiv soda nimeikuta inauchafuu ndani nikawaza jee zile zenye rangi zingine kama pepsi, mirinda na seven up ni Mara ngapi tunakunywa na uchafuuu. Kweli tanzania ya viwanda inatakuja ILA sio...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
1 Reactions
2 Replies
1K Views
MAUDHUI: UCHUMI WA VIWANDA UZINGATIE HAKI, MASLAHI NA HESHIMA YA MFANYAKAZI. 1* Kokoriko tunawika, kama jogoo wa shamba, Sauti hizi sikika, watumishi wa muumba, Mbeleni tumeshafika...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuanzia jana sikuiona TBC1 katika Startimes! Leo TBC1, TBC2 na Channel Ten zimefutika kabisa katika King'amuzi changu cha Startimes! Nini tatizo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Very recently Al Jazeera featured a documentary by an investigative journalist by the name Anas Aremeyaw Anas. Anas filmed 12 high court judges, 22 other judges and 140 other court officials...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi ni kweli anayetazama TBC anakuwa hana kifurushi cha star times. Watu wamebishana sana hadi kuwekeana pesa na wameamua kufanya utafiti wa kina kwa wale wanaotazama TBC.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF, Mara zote nimeona ndege ikitaka kurudi nyuma mpaka isukumwe, haiwezi kurudi kinyumenyume, hivi kwanini ilitengenezwa hivyo kwamba isiweze kurudi kama yafanyavyo magari?
2 Reactions
54 Replies
13K Views
Back
Top Bottom