dittu
Member
- Dec 2, 2016
- 75
- 53
Baada ya serikali kutangaza amza ya kuwalazimisha wanaouza cd za nnje nao walipe kodi kama wanavyofanya watengenezaji wa ndani( siyo kuzizuia zisiuzwe kama wapotoshaji wanavyosema)kuliibuka watu wakisema wazuie tu( japo wakaendelea kupotosha) tutadowload tu kwenye mtandao tunazozitaka.
Rakini jambo la kufahamu ni kwamba soko la filamu tz wengi wa watumiaji wa bidhaa hiyo hawana uelewa na masuala ya kudowload wanategema wanunue kazi hizo zikiwa kwenye cd ili wakaweke kwenye deki waangalie ,ushahidi wa jambo hili ndo maana biashara ya cd tz itaendelea kuwa kubwa kuliko hii itajumulisha bidhaa zote iwe kutoka nnje ,kutoka ndani.
Uwiano wa asilima 80 wanategemea wanunue cd wakaangalie home na 20 wanaouwezo wa kuzinyonya kwenye mtandao lakini hata kunyonya kwao hakuzuii biashra ya cd kuendelea kutawala soko la filamu tz
Kabla hujaanza kubisha au kupinga jiulize hapo wanaokuzunguka wewe ni wangapi huwa wananyonya movie kwnye mtandao na ni wangapi wategemea kununua cd wakaangalie home,kwa hiyo wewe kama unadowload usione kama watu wote wanaweza kufanya hivyo,mfano prison break imeshaanza kutoka iko episod ya tatu mpaka leo lakini waliowengi hawajaipata wanasubilia iwekwe kwenye cd ndo wanunue wakaicheki.
Hivyo basi duniani kote hakuna nchi ambayo imefaulu kuwazuia watu kunyonya movie,kunyonya ruksa na kumpatia mwingine ruksa ila ukianza kuiweka kwenye cd na kuipanga barabarani inageuka kuwa biashra tayari hivyo inapaswa ufuate utalatibu ili ulipie kodi ndipo uuze
Hivyo wanaonyonya moves za nnje na kutaka kuziuza ni razima wafuate utalatibu wa kulipa kodi ndipo waziuze kama zinavyofanya za ndani sokoni mteja atachagua anunue ipi lakini zote zikiwa zimelipia kodi.
Kama mnaona hili suala ni gumu zinyonyeni muangalie wenyewe au mzigawe bure hakuna atakayewauliza lakini ukiziweka kwenye cd na kuzipanga barabani inageuka kuwa biashara,hata hivyo soko la filamu tz wanunuzi wake wengi bado wako kwenye cd kwa hiyo wenye dhamana wakitilia mkazo hapa watapata kodi nyingi.
Nitashidwa kukuelewa ukikoment nnje na mada niliyoiandika maana kuna watu hawachelewi kuandika mengine.