Mkuu wa mkoa, alituhumiwa kuvamia studio za clouds akiwa na wanausalama nimetumia lugha tuhumiwa kwa sababu sina mamlaka ya kuhukumu pamoja na kwamba kuna cctv footage zilizosambaa,
Jukwaa la...
Nyoka aina ya chatu 7m (23ft) amekutwa amemmeza mtu aliyekuwa kapotea Jumapili iliyopita katika kisiwa cha Sulawesi, Indonesia baada ya kuondoka nyumbani kwenda kuvuna mawese. Wanakijiji ambao...
Natamani sana endapo siku zingerudi nyuma ningekuwa na mengi ya kurekebisha, ila ningeanza na kutogusa pombe kabisa maana kipindi nasoma nilikuwa mnywaji mzuri sana wa pombe hasa za kienyeji zenye...
Nilipata sikia kwamba katika awamu za mwanzo hizo(hope sikuwa nimezaliwa tiyari) shirika letu la ndege lilikuwa na ndege nyingi zikiwemo BOENG kadhaa, hivi hii ni kweli? Na kama ni kweli hizi...
Hivi majuzi Prof. Maghembe, Waziri wa maliasili na Utalii alitoa tamko kuhusu ukomo wa usafirishaji wa mkaa unaotokana na miti. Katazo hilo lilitaka ifikapo julai mwaka 2017 haitaruhusiwa...
Mtu mmoja anahofiwa kufa wakati watu wengine 27 wakinusurika baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika mkondo wa maji wa bahari ya Hindi wilayani Rufiji Mkoani Pwani.
Anayehofiwa kufa...
Nimeamini ulinzi ni wako mwenyewe,mtu kaiibiwa watu waliokuwa zamu ya ulinzi shirikishi wapo,polisi wanauliza 'je unamjua mwizi wako?' kama hujakamata mwizi basi utasubiri upelelezi hadi basi...
Naumia sana nikiona kitu nisichokitarajia ndiyo kinatokea katika ardhi hii mama.
Eti wanatoa mapanga huku wanahubir amani hivi kuna amani kweli wakati wananchi kila siku wanalalamika uvamizi kila...
TAIFA LA TANZANIA LINAPASWA KUONGOZWA NA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA).
------------------------------------------------
Mwaka{1995} Wabunge 4, Madiwani 42.
Mwaka{2000} Wabunge 5...
Habari,hii namba naina sana kwenye post za Radio BBC Uingereza lakini nikipiga anapokea mtu mwingine nakusema siyo ya radio bbc,je huyu mtu ni tapeli au vipi?kama anasoma hapa aache ujinga huo...
Wapendwa Salaam!
Imani.
Hapa tunaamini mara nyingi bila kuona. Utakuta mtu anaumwa akaombewa na asipone. Akifika hospitali akapata tiba na kupona hurudi kutoa sadaka kubwa kwa mchungaji kama...
Inavyosemekana kuna binadamu mwenye jinsia mbili a.k.a shemale kwa kizungu kama sijakosea. Ameonekana huko Zenji bar maeneo ya Chukwani.
Anajifanya kuomba kazi za ndani na akikubaliwa huanza...
Husika na kichwa cha Habari hapo juu... nimefuatilia vyema sherehe za muungano na nimeona Mheshimiwa JPM peke yake ndio katoa neno katika sherehe hizi na Dr. Shein hakupewa nafasi kama Rais pekee...
Ukweli usio na chembe ya mashaka yoyote...,,,,,,,,huyu mzee magufuli kwa kiasi kikubwa amesababisha tukimbiwe na baadhi ya marafiki zetu na pia idadi ya wawekezaji hapa nchini imeporomoka kwa...
Ni marufuku na ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kufa kwenye mji wa Le Lavandou, Ufaransa
Mwaka 2000 meya wa mji wa Lavandou nchini Ufaransa Mayor Gil Bernardi alilazimika kupitisha sheria ndogo...
Habari zenu wadau,
Wadau hili la walimu kuvaa t-shirt za mwaka jana Mei Mosi bado sijalielewa. Ni kwamba Chama cha Walimu kimekumbwa na mdororo wa uchumi au wanaendelea kupiga pesa za walimu?
Katika Tuko la wizi ambalo limetokea 25 April 2017, huko nchini Paraguay katika mpaka wake na nchi za Argentina na Brazil , kwa kikundi cha majambazi wapatao 50 kuamua kuvamia gari la kutunzia la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.