Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,810
Habari zenu wakuu ebana Nina mshikaji wangu aliuziwa KIWANJA miaka ya nyuma na maeneo ya mbagala na MZEE mmoja ivi miaka ya 2000.
Lakini baada ya miaka kupita yule mzee alianzisha mgogoro wa mipaka na mshikaji ila badae walisuruhisha sasa miaka ya hivi karibuni yule ameanza kudai kile kiwanja akidai alimuuzia kimakosa HIVOO anataka kurudisha pesa alizopewa lakini pia kumrudishia gharama zake zote za kiwanja alizokuwa akilipia kodi TRA . ...
Hivi kesi kama hii inakuwaje pale MTU anapokitaka kiwanja chake na kukurudishia gharama zako zote na inakuwaje mtu anataka arudishe kiwanja