Momba, Songwe: Kijana wa miaka 30 kwa kumbaka mlemavu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Momba mkoa wa Songwe imemhukumu kijana wa miaka 19 kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka 30.

Kijana huyo amepatikana na hatia ya kumbaka mlemavu.

Chanzo: ITV
 
Dogo atatoka baada ya miaka 11 ijayo, atakua 30.

Hivi kumbe watu wana njaa ya mbunye kiasi kwamba wanalazimika kubaka?

Lakini nadhani hawa madogo wana changamoto ya jnsi ya kutongoza pamoja na msukumo mkubwa wa nyege maana kwa miaka hiyo mashine inaweza kusimama masaa 12 bila kulala.

Ukikosa hela na una nyege nyingi hatari ya kubaka inakua kubwa maana ukiwa na hela angalau unaweza kununua mbunye.

Pole sana kwa dogo lakini pia pole kw aliebakwa angalau amepata relief kua aliempiga mashine bila ridhaa yake kapata adhabu.
 
Back
Top Bottom