Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433

Ni pigo la nafsi na maumivu ya roho pale mtu asiyena silaha (unarmed) anafanyiwa tukio kama hili...

Raia tunahamasishwa kila siku kutokuchukua hatua mkononi ila kwa polisi kumkung'uta virungu raia asiye na silaha akimbilie wapi?
 
Nazan ndo nimegundua asaiv maana ya ile kauli ya jamaa wa mbeya kwenye comment katika page ya millard ayo
.
.
.
Kyenekyaka nkighanile une
 
Ni pigo la nafsi na maumivu ya roho pale mtu asiyena silaha (unarmed) anafanyiwa tukio kama hili...

Raia tunahamasishwa kila siku kutokuchukua hatua mkononi ila kwa polisi kumkung'uta virungu raia asiye na silaha akimbilie wapi?

Ohooo my God. Mkuu hii ni wapi na ni lini? Kuna neno moja tu naweza kuwaita hao ''polisi'': WAUAJI
 
Polisi wanajua kuwa ukiwa polisi wewe ni kuburuza tu kupiga tu kuchapa tu kunyanyasa tu.

Hivi mtu akisema hawapendi polisi kwa hali hii mtaona ni mnafiki?
 
Back
Top Bottom