Wakenya wanafanya jitiada kuua soko la Tanzaniia East Africa

KweliKwanza

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,517
2,808
Natumai watanzania wenzangu mu wazima

Moja kwa moja adi kwenye mada ni kweli kuwa watanzania tuko kimya na kujidai ni wapole katika kufanya maamuzi na kuzingatia sana sheria
Ila ukweli ni kwamba upole wetu umetugeuza kuwa wajinga na kuendeshwa sana, rasilimali zetu hugeuzwa na kufanywa kuwa kama za wakenya vile

Point Muhimu ni kuwa Wakenya wanatumia rasilimali za Tanzania kujitangazia wao kama ziko inchini kwao , kwani tumeshuhudia viongozi wao wakinadi vitu kama Oldvai gorge, mlima kilimanjalo, Serengeti na sehem mbalimbali katika nchi hii vikihamishiwa Kenya
Kuna mda adi Diamond alitamkwa kuhusiswa kuwa Kenya
Hivi vitu vimekuwa vikijitokeza mara kwa mara na watanzania tukilalamika lkn message inakuwa ishawafikia walengwa na wao (Kenya) kujipatia sana watalii,na ndio maana leo hii Tanzania haitambuliki lakini Kenya,Mlima kilimanjaro, na serengeti hujulikana kila pande ya Dunia
Na naamini asilimia 50 ya watalii wanaoingia kenya lazima chimbuko lake liwe limetokana na kujinadi kwa vitu vya kitanzania
Recently tumesikia kuwa waziri wa kenya kakataza mitungi ya gesi kutokufika Kenya na wanajua fika kuwa jumuhia ya Africa Mashariki hiruhusu icho kitendo, hii ni moja ya political busness ambapo wanajua wanachokifanya na impact yake katika kukua kwa gesi yao

Binafsi nashauri kila moja awe ambasada wa nchi yetu Tanzania
Wakenya wamejaa sana mitandaoni kuisifia nchi yao
Investments kibao zinafanywa kenya kwa kujitangaza uku tanzania tuking'aa macho2. Na pia sahv Dar es Salaam imeipiku Nairobi kwa kila kitu lkn bado Nairobi ndo hujulikana zaidi Africa

Watanzania ni jambo la busara kuamka na kuanza kuitangaza nchi yetu sehem yoyote tulipo
Kama we ni kiongozi Tangaza kwa japo kuziongelea kwenye press conference

Ni ni vema ata sisi tukatumia ujanja kutengeneza uchumi wetu kwa faida yetu
Tanzania hii sio ya kubishana na Kenya kiuchumi
 
Ningewaona wa maana kama wakisema Bashite &Sizonje ningewaona viongoz wa kwao na ikibid wawachukue kabisa
 
Recently tumesikia kuwa waziri wa kenya kakataza mitungi ya gesi kutokufika Kenya na wanajua fika kuwa jumuhia ya Africa Mashariki hiruhusu icho kitendo, hii ni moja ya political busness ambapo wanajua wanachokifanya na impact yake katika kukua kwa gesi yao

Hapo kwenye bold soma habari uielewe mwanzo, sio kukurupuka tu na propaganda, otherwise endelea na uvumi.
 
Mzungu aseme anataka kutalii... Ashauriwe na tour operator kisha aandaliwe safari ndani ya budget yake... Aje Africa Mashariki, zaidi ya nchi moja.

Tatizo kwako ni tour operator wa Kenya kuandaa safari hiyo au unajaribu kusema kuna advanced technology inayotumiwa na wakenya kuhamisha Mlima Kilimanjaro toka Moshi hadi Nairobi? (BTW, using the Rongai route, you can climb Mt. Kili from the Kenyan side. More scenic and has a higher success rate too..)


Bundle Pricing Strategy (BPS): Tafakari!
 
Imeandikwa ktk vitabu mtakula kwa jasho!
wakenya wanakula kwa jasho sie tunakula kwa udaku ndo tunachoweza, kwaiyo tulia
 
Kuhusu gesi...

"The move, according to Mr Kamau, is meant to eliminate illegal cooking gas filling plants which have cropped up in various parts of the country posing safety and security risks."


“The Cabinet Secretary has written a letter to Energy Regulatory Commissions, Customs and Kenya Bureau of Standards and designated Mombasa as the only point of import for LPG. So if you want to play in this game, import through Mombasa and then we can now follow up who is supplying unlicensed dealers."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom